Mahusiano ya hivi kitaalamu yanaitwaje?

Oya mwanangu Kuna watu wanapata pesa pia kupitia kuua watu..
Hahaha nisikutishe kaa kijanja..
Kwanini boda akusukumize WEWE?
Hakukuwa na mwenyeji wa kukubalika kwa Dada!!
Kwamba boda kakuunganisha nae!

Mwambie mkapime Afya.
Mwambie mfunge ndoa.

Hakuna mwanamke LULU anakaa kipweke ..watu wangeshawahi mapema Sanaa.
 
Mradi mzima umeanzia kwa huyo dogo wa bodaboda.Haijatokea bahati tu iwe nzuri au mbaya.Na aliyeanza ushawishi wa kukuhitaji ni huyo mwanamke.Yawezekana akawa hana nia mbaya.Kaa kwa kutulia,usome mchezo na uzijue kanuni zake.Yawezekana ukaufurahia mchezo.Kila la kheri.
 
Hahaa umesomeka mkuu, ingawa umeanza kwa mbwembwe, kidogo tu nisimalizie kusoma uzi wako [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana mkuu kwa maono haya.

Muda ndio muamuzi mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka 28 na ana mtoto wa miaka 14. Alimzaa akiwa na miaka mingapi? Na uchumi mzuri tu.

Hata mimi ningekuwa na wasi wasi.

Kibongo bongo hata Huko Duniani hatujazoea wanawake wa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…