Mahusiano ya hivi kitaalamu yanaitwaje?

Mahusiano ya hivi kitaalamu yanaitwaje?

kwani mwenyewe anasemaje kuhusu ndoa,?
Hana shida, ameniomba tu nimpe muda aniamini zaidi.

Ofcourse kwa namna anavyonishirikisha kuhusu personal life yake, nina kila sababu ya kuamini kwamba ananipenda, swali ni je, atanipenda kwa muda gani? [emoji2]

Jambo pekee asilopenda kulizungumzia ni mahusiano yake yaliyotangulia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala hata usijali....toa miuno sana...
Mwanamke akishakua na ela ya kukodhi mahitaji yake hayo mengine ni ziada ti....
Na sio Kila mwanamke muombaji WA ela
 
Kitaalam mahusiano hayo huitwa "akili ku mkichwa...mke wa mtu sumu....mume wa mtu...maziwa🤐🤐🤨
 
Back
Top Bottom