Mahusiano ya kimapenzi kati ya waalimu na wanafunzi,nani alaumiwe?

Mahusiano ya kimapenzi kati ya waalimu na wanafunzi,nani alaumiwe?

Duh!? Kuwa Mwalimu ni MAJANGWA,majanga yanaunafuu!,ila kuwa Mwanafunzi ni matatizo matupu! tena kwa wale wanachuo ndo shida kabisa,eti Lecturer anakubebesha course kisa umemkatalia!? mbona taabu!, kuna Lecturer mmoja huku TEKU ni balaa! kama kwenye group lenu kuna demu wake mbona "A" zitawachosha?,sasa ole wenu wazinguane!,mbona mtachukia chuo!,Huko BAED ni majangwa matupu!,Lecturer mmoja,wanawake 7,akizunguka chuo kizima anawabeba kama 20 hivi,kama demu wako anafukuziwa na Lecturer bora umtafute Mwingine,huku chuo kikuu hata Mke wako anamegwa "live" na huongei kitu,ukikoroma tu,una-CARRY!!!,kuna binti mmoja alimgomea DVCAA,mbona amerudia mwaka?,chezea mwalimu weye!! KILA MMOJA AWAJIBIKE KINIDHAMU NA KWA MIPAKA.

Ilaumiwe serikali kwa kuruhusu viagra kuingia Nchini.
 
Hao malecturers wahuni wanapaswa kuuawa ama kulogwa,she__i type hawa wanakera sana.
Kuna mmoja alimsababshia kuDISCO mdada mmoja pale CBE,walmu fanya mbaya akapalalaise hadi leo yupo ktandani.
Asante kwa wote wanaowawajbsha washen.. hawa iwe kwa nguvu za giza&ama kwa namna yoyote.
Wachawi msiloge watu wema logeni hawa wapuuzi wanaoliharbu taifa.
 
Katika shule moja huko ngara kagera mwalimu wa kike alimpenda mwanafunzi wake,yule jamaa(mwanafunzi) akagoma kumkubalia kisa mwalimu alikua kicheche,anaruka na masoja wa kambi ya pembezoni mwa shule,mwalimu akatafuta visa yule mwanafunzi akafukuzwa,katika kuandika barua ya kukiri kosa akaandika ukweli wa mambo.lakini bado akapewa adhabu ya kuchimba kisiki.baada ya kuona matukio yanazidi akamkubalia na hatimae akampachika mwalimu wake mimba.ukiachilia mbali mambo ya huko ngara,kuna shule moja ipo katikati ya jiji la mbeya,wanafunzi wa kike wa shule hii wanatabia ya kuwatongoza walimu,ukimkataa anakusemea kwa mkuu wa shule ili akuchafulie jina,ukimkubalia anatangaza darasani halafu ukiingia kufundisha wanakuamkia kwa kusema:"goodmorning shem?"...ukianza na mmoja anakuja na mwingine na wa tatu hadi wa nne pia.hali si shwari shuleni huko,ndoa za kidigitali zimeshamiri kila kona,ukibofya tu,unalo.mwalimu akimpa adhabu mwanafunzi ni kosa,eti mwanafunzi anajileta kwako,we mwalimu uko single,anakuja na kanga moja....

mwanafunzi wa kike akifanya kosa ukijaribu kumkaripia kidogo utasikia "eh shemej aah mwalimu na wew mkaali"

si umeshatembea na rafiki yake, moral authority inatoweka kabisa.
 
Kikwete alishasema " Wanafunzi kupata mimba ni viherehere vyao"
 
umeenda mbali mkuu soma vizuri uzi hapa wanajadili level za sekondari sio hao watu wazima wa vyuo.Rejea mleta uzi kasema shule moja huko Ngara sa Ngara kuna chuo kikuu
 
Wanafunzi wanaviherehere kwani mwalimu akimtongoza anashindwaje kukataa? Wanafunzi wanapenda ubwete anajua akiwa mpenzi wa mwalimu shuleni atafaulu, kazi hafanyi na atakuwa anapata pesa ya chips/mihogo
 
Wanafunzi watamu asikwambie MTU ..tena usizoee mana hutoacha mpaka ukamatwe
 
Katika shule moja huko ngara kagera mwalimu wa kike alimpenda mwanafunzi wake,yule jamaa(mwanafunzi) akagoma kumkubalia kisa mwalimu alikua kicheche,anaruka na masoja wa kambi ya pembezoni mwa shule,mwalimu akatafuta visa yule mwanafunzi akafukuzwa,katika kuandika barua ya kukiri kosa akaandika ukweli wa mambo.lakini bado akapewa adhabu ya kuchimba kisiki.baada ya kuona matukio yanazidi akamkubalia na hatimae akampachika mwalimu wake mimba.ukiachilia mbali mambo ya huko ngara,kuna shule moja ipo katikati ya jiji la mbeya,wanafunzi wa kike wa shule hii wanatabia ya kuwatongoza walimu,ukimkataa anakusemea kwa mkuu wa shule ili akuchafulie jina,ukimkubalia anatangaza darasani halafu ukiingia kufundisha wanakuamkia kwa kusema:"goodmorning shem?"...ukianza na mmoja anakuja na mwingine na wa tatu hadi wa nne pia.hali si shwari shuleni huko,ndoa za kidigitali zimeshamiri kila kona,ukibofya tu,unalo.mwalimu akimpa adhabu mwanafunzi ni kosa,eti mwanafunzi anajileta kwako,we mwalimu uko single,anakuja na kanga moja....

hata vyuoni ni hivyo hivyo , kama mwalimu unataka kulinda heshima yako ni bora usiwale kondoo unaowachunga...........
 
Maadili yakiporomoka, yatatokea makubwa zaidi ya haya. Kila kona, uchochoro,...watu wanaongea na kufanya ngono. Kuwa mwalimu kunahitaji nidhamu kubwa juu ya mahusiano.
Waalimu wanaoshiriki ngono na wanafunzi wao wanadharauliwa sana.
Kuna mwalimu mmoja wa kike alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi wake, wanadunzi wakambaka kwa zamu, wanafunzi wakatangaza kila mahali, kwa aibu aliomba uhamisho.
 
Watoto nao wamezidi kuoga siku iz,,mwalimu anakutana na binti kaji lipstick,,kajilipshine...na kajikalolaite,,nani mchokozi sasa,,mwl au dent,,,
 
Afadhari walim tuendelee kuvimega tena kwa kasi na hali mpya kbs maana hata tusipokula sisi makonda na wauza chipsi wanavila kweli,mi navitumia kwel kupunguza stress za mshahara kiduchu
 
Back
Top Bottom