Duh!? Kuwa Mwalimu ni MAJANGWA,majanga yanaunafuu!,ila kuwa Mwanafunzi ni matatizo matupu! tena kwa wale wanachuo ndo shida kabisa,eti Lecturer anakubebesha course kisa umemkatalia!? mbona taabu!, kuna Lecturer mmoja huku TEKU ni balaa! kama kwenye group lenu kuna demu wake mbona "A" zitawachosha?,sasa ole wenu wazinguane!,mbona mtachukia chuo!,Huko BAED ni majangwa matupu!,Lecturer mmoja,wanawake 7,akizunguka chuo kizima anawabeba kama 20 hivi,kama demu wako anafukuziwa na Lecturer bora umtafute Mwingine,huku chuo kikuu hata Mke wako anamegwa "live" na huongei kitu,ukikoroma tu,una-CARRY!!!,kuna binti mmoja alimgomea DVCAA,mbona amerudia mwaka?,chezea mwalimu weye!! KILA MMOJA AWAJIBIKE KINIDHAMU NA KWA MIPAKA.
Ilaumiwe serikali kwa kuruhusu viagra kuingia Nchini.