Mahusiano ya kimapenzi kati ya waalimu na wanafunzi,nani alaumiwe?

Mahusiano ya kimapenzi kati ya waalimu na wanafunzi,nani alaumiwe?

Unayesema hayo ni marupurupu basi ujue kuwa mdogo wako wa kike ndio anafanywa marupurupu huko shuleni
 
Madent kama hao unakoa tu mkuu,mimi ningekuwa mwalimu migongo yote mizuri ningeilalia
 
Aaaa! Ya walimu macho juu, mbona madr. Wanajipoza kwa wagonjwa hamsemi,
Ukweli mwaliimu aliyekomaa kimaadili hawez banjuka na dent wake hata kwa kumwendea na nusu khanga hanas hiyo moja kitu gan!
 
Mengi yanasemwa kuhusu hili lakini uhalisia ni huu: mimi ni mwalimu kwa kazi yangu na nina uzoefu wa miaka miwili kazini. Ninayoyaona hapa kazini ni sawa kabisa na mnayoyasema hapa. Kuna wanafunzi wa aina mbili katika shule kwakuzingatia swala zima la mahusiano.
Kwanza ni wale wanafunzi ambao hawana aibu kabisa na huwa hawawezi kuzuia hisia zao. Wanapohisi kwa wanapenda basi wanamfuata mwalimu wao wenyewe na kuwatamkia moja kwa moja. Mfano mimi mwenyewe nimepokea msg kibao ticha i love you hap.
Wengine ni wale ambao wanapenda ila hawasemi wanachofanya ni visa tuu. Hawa wapo sana na unaweza kuwaona. Utawajuaje????
Hupenda kusaidiwa maswali sana. Na wanapokuletea basi hupenda sana kuwa karibu hata kugusana na na utahisi tu hata pumzi ubadilika. Kwa bahati mbaya ukimgusa mkono basi utahisi kitu. Hawawezi sema ila wanapenda. Kama unataka ushaidi zaidi niulize tuu
 
Back
Top Bottom