johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kampeni gani bwashee?!Sio kwamba Mheshimiwa yupo kwa kampeni?!
Toa mfano wa hao majirani!..Jpm ameleta magomvi na nchi majirani.
..cdm itarejesha mahusiano mema na majirani zetu ili BIASHARA zimeweze kushamiri.
Toa mfano wa hao majirani!
Kwahiyo akihitaji kuwasiliana na rais wa ufaransa itabidi ajifunze Kwanza kifaransa. Na akihitaji kuwasiliana na viongozi wa china itabidi ajifunze kichina Kwanza?..pia Jpm hajui kuzungumza Kiingereza hivyo anashindwa kuwasiliana na kujadiliana moja kwa moja na viongozi wenzake.
Kwahiyo akihitaji kuwasiliana na rais wa ufaransa itabidi ajifunze Kwanza kifaransa. Na akihitaji kuwasiliana na viongozi wa china itabidi ajifunze kichina Kwanza?
kweli Tanzania tuanahitaji jambo la ziada Kwenye elimu yetu maana haitufunzi kufikiri
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Taja ugomvi huo unahusiana na nini acha utoporo wako hapa kwa kushikiwa akiri na tundu lisu, taja huo ugomvi umetikana na nini?..Jpm ameleta magomvi na nchi majirani.
..cdm itarejesha mahusiano mema na majirani zetu ili BIASHARA zimeweze kushamiri.
Fullish? Hujui siku hizi translators. Unaseti kwenye lugha yako matukio yote yanakuja kwa lugha...pia Jpm hajui kuzungumza Kiingereza hivyo anashindwa kuwasiliana na kujadiliana moja kwa moja na viongozi wenzake.
Baada ya kubanisha hivyo, kwa jinsi wapinzani (husani CHADEMA & ACT) walivyo na akili mbovu usishangae utakaposikia wakipinga tanzania kufungua balozi
Fullish? Hujui siku hizi translators. Unaseti kwenye lugha yako matukio yote yanakuja kwa lugha.
Umehoji vizuri sana!Kwahiyo akihitaji kuwasiliana na rais wa ufaransa itabidi ajifunze Kwanza kifaransa.
Na akihitaji kuwasiliana na viongozi wa china itabidi ajifunze kichina Kwanza?
kweli Tanzania tuanahitaji jambo la ziada Kwenye elimu yetu maana haitufunzi kufikiri
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Umehoji vizuri sana!
Matusi ni nini bwashee?..Na lugha za matusi na udhalilishaji anazotumia?
..Unadhani zinakubalika ktk nchi za wenzetu?
Matusi ni nini bwashee?
Umeshasikiliza hotuba za Tundu Lisu lakini?!!
Rais Magufuli anaheshimika dunia nzima kwa kudhibiti Corona nchini...mnakumbuka Benjamin William Mkapa alivyokuwa akiipaisha heshima ya Tz?
..huyu wa sasa hivi ni takataka ukimlinganisha na watangulizi wake.
..heshima yetu kimataifa imeporomoka. mahusiano yetu na nchi na jumuiya mbalimbali yamevurugika.
Baada ya kubanisha hivyo, kwa jinsi wapinzani (husani CHADEMA & ACT) walivyo na akili mbovu usishangae utakaposikia wakipinga tanzania kufungua balozi