Mahusiano ya kishenzi kabisa

So mkuu umempa chance ajifunze kukupenda huko mbele kwa mbele asipojifunza siku ukimkuta na anayempenda yeye ukanunue chuma ummwage ubongo siyo?
Kwangunmuhimu asininyime utamu tu ana jmamaa yake ambye ana mapesa kuliko mimi lakini wala sijali tena kuna siku tulipishana mimi natoka na yeye anaingia na gari yake
 
Mkuu kama umekubali hali na hulalamiki hilo halina shida

Shida ni pale mtu hawi unavyotaka na kutwa kulalama kujiliza liza
Wakat na mtongoza aligoma baada ya kumwambia hivyo akasema sawa sasa nikamuuliza una mtu akaniambia unga tele utajua mbele ya safari kwahio nimetulia na sina wivu wakijinga labda aniletee zarau nikiwa nae hapo lazima ninraect
 
Hayo mahusiano kwangu ndiyo nayaona kuwa yamekamilika

Yamejengwa based on mutual understanding, safi kabisa

Kwahiyo hapo lolote likikukuta hauna bima 🤣
 
Hii expectation ya kujibiwa message na kupokelewa simu on the spot ndio kiama cha mahusiano mengi.

Mpe mtu space, muwazie mema. Jipe amani ya moyo. Atakurudia muda ambao ni convenient
Atakurudia muda ambao ni convenient kukuletea gono na magonjwa mengineyo, NO ATTENTION NO LOVE, usikae ukasubiri maumivu na muda unasogea.
Hivi huo muda wa kuanza kuulizia response ya mtu kwako mnautoa wapi? Hapa ndio unapomuandaa mtu kukunafkia. Mimi nipo hivi, nikikutafuta usiporespond hutoona nakutafuta tena mpaka unitafute.
 
Hii ndio yenyewe
 
Atakurudia muda ambao ni convenient kukuletea gono na magonjwa mengineyo, NO ATTENTION NO LOVE, usikae ukasubiri maumivu na muda unasogea.
Okay

Mimi nipo hivi, nikikutafuta usiporespond hutoona nakutafuta tena mpaka unitafute.
Una kumbukumbu ya muda mfupi sana.

Au kuna tofauti gani kati ya nilichokisema cha mtu kukurudia when it is convenient na ulichokisema kuwa asiporespond utasubiri mpaka akutafute?
 
Okay

Una kumbukumbu ya muda mfupi sana.

Au kuna tofauti gani kati ya nilichokisema cha mtu kukurudia when it is convenient na ulichokisema kuwa asiporespond utasubiri mpaka akutafute?
umtafute mtu leo aje akujibu baada ya wiki tena akiwa na shida zake na ni mpenzi wako, kuna mapenzi hapo? Hiyo convenient baada ya muda mrefu kupita ndio utofauti ulipo, na ndani ya huo muda yanafanyika mengi ambayo yanaweza kuleta madhara kwako na ndio yanayoua attention.
 
Hicho kipengele cha muda mrefu kupita amekiweka nani?

Mimi nimeongelea message kujibiwa au simu kupokelewa on the spot.
 
Ndio utamu wenyewe wa mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…