Mahusiano ya kishenzi kabisa

Hivi mtu hajibu sms zako, kisha baadaye ukampata na kumpakata, kisha akaanza kulia kwa kutamka maneno hayo akiwa juu ya kinena chako mkuu, utaendelea kutokumuamini kwa kuwa tu harespond ma msg na call zako?
 
 
Hivi mtu hajibu sms zako, kisha baadaye ukampata na kumpakata, kisha akaanza kulia kwa kutamka maneno hayo akiwa juu ya kinena chako mkuu, utaendelea kutokumuamini kwa kuwa tu harespond ma msg na call zako?
Binafsi imani kwa hawa viumbe sina, regardlee

Sijui Mzee wa kupambania ana lipi la kusema
 
Saivi imekuwa tena "KATAA MAHUSIANO" Anyway for my side huwa naamini katika bahati,,,hata kwenye mahusiano pia ukibahatika kupata mwanamke wa ndoto zako,,hayo ya kuumizwa na kulia lia hovyo ni nadra kukupata..zaidi ya vi-conflicts vidogo vidogo tu.
Hii ni kweli mkuu maana in every general rule there’s an exception
 
Mwanamke usimwamini hata siku moja na wala usimwonee huruma hawa viumbe ni wajanja wajanja sana na waongo.

Mwanamume tumia akili na usitumie hisia unapodili na wanawake
Sakasaka Mao screenshot huu ujumbe, ka print na usisahau kupiga laminesheni

Usimuonee huruma mwanamke

They are very very very manipulative, you gotta be strong as a damn boot to win them
 
Raha ya mapenzi kuwe na kashkash
Mimi binafsi ni shabiki wa kash kash ila za watu niliozungumza nao zimekua kero si kashkash tena

Hakuna kashkash za kujibiwa text baada ya wiki😂

Au kublokiwa usiku bila sababu tena baada ya miadi ya kuongea


Hiyo ni mateso bila maumivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…