Mahusiano ya kishenzi kabisa

Acha basi kuwashtua. Wengine siye hayo ndiyo tuko hivyo. Siku tunune, juzi tu nimetoka kununa siku nzima, sikujibu sms, data nikazima na yuko mbali kasafiri.
Kateseka siku nzima, naumia pia ila ndiyo raha yake.
Yuko humu akisoma huu uzi wako akiniacha utanitafutia mpenzi wewe Count Capone πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Hata wewe mademu zako pia wanapokea simu wakiwa wanakazwa
Hapana mkuu hiyo haijawahi nitokea, ila kuna dem wa mtu alipokea wakati namkaza

Na kutilia msistizo nilimkaza kwa nguvu mpaka bwana wake asikie mapigo
 
Usirudie kufanya hivyo siku nyingine atajua labda unabanduliwa.

Hakuna kitu kibaya kwenye mahusiano kama mwenzako kutokuamini au kukutilia shaka
 
Hiyo kitu ni tamu ukweli niseme

Tatizo linakuja pale anaefanya hajui when to stop, inaenda inaanza kuwa kero kama za MuunganoπŸ˜‚, inafika mpaka wiki text haijajibiwa, au wamekubaliana kupigiana simu wakati fulani ikifika time mtu anakula bloku moja kaliiπŸ˜‚πŸ˜‚

Hiyo inaboa mnooπŸ˜‚πŸ˜‚

Btw akikuacha nicheki tustiriane Bantu Lady , sina shaka una kitu napendaga
 
Usirudie kufanya hivyo siku nyingine atajua labda unabanduliwa.

Hakuna kitu kibaya kwenye mahusiano kama mwenzako kutokuamini au kukutilia shaka
Asante kwa ushauri Mzee wa kupambania na ndicho alichohisi, imesaidia ananijua vizuri anasamehe tu. Asije kusoma hapa πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 

Asante kwa ushauri Mzee wa kupambania na ndicho alichohisi, imesaidia ananijua vizuri anasamehe tu. Asije kusoma hapa πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kuna mmoja alinifanyia hivyo napiga simu kuanzia saa 8 mchana inaita tu eti saa 2 usiku ndo anapokea nilimchana nikamlima block.

Mazingira ya kisa chake yanaonyesha alikuwa anapelekewa moto
 
Mimi binafsi ni shabiki wa kash kash ila za watu niliozungumza nao zimekua kero si kashkash tena

Hakuna kashkash za kujibiwa text baada ya wikiπŸ˜‚

Au kublokiwa usiku bila sababu tena baada ya miadi ya kuongea


Hiyo ni mateso bila maumivu
😁😁😁 Kash kash ziwe kiasi, mambo ya kublockiwa tena hapo inabidi ujiongeze.
 
Sina ubavu wa kumakalia wiki, namiss kuwasiliana naye, ila nikimnunia nayeye ile ananibembeleza ndiyo napata nguvu, ya kuendelea kuuchuna.
Angekuwa naye anauchuna wee ningejibebisha, kama siyo miye niliyenuna πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Kwenye mapenzi mkipendana, mkasomana tabia, kila mmoja akamjua mwenzake, unaona kawaida.
Kanipa majina kama yote ticking bomb, Ambulance n.k πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ weee Count Capone sitoki hapa nimefika miye.
 
Penzi la hivo ni tamuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…