Mahusiano ya mtandaoni

Na mie Nicomment.
Wangu nilikutana nae apa,alipost na nikapendezewa na thread yake.
Mawasiliano yakaanza,na siku ya kwanza tunaonana moyoni mwangu kabisa nikajua yeye ndiye.
Mkaka mzuri,mstaharabu sio bahili.
Nikampenda,tukapendana sana tukalana sana adi mimba na sasa tuna katoto kazuri ka miezi 10.
Baby dady mie na Cary tunakupenda.
 
Weeeee
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119] shouga had wewe!!!
kama ile kitchen part haikukusaidia mimi nisemaje sasa,kaka wa watu alikufunda hadi akaahidi vyombo ila wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…