Mahusiano ya mtandaoni

Mahusiano ya mtandaoni

Na mie Nicomment.
Wangu nilikutana nae apa,alipost na nikapendezewa na thread yake.
Mawasiliano yakaanza,na siku ya kwanza tunaonana moyoni mwangu kabisa nikajua yeye ndiye.
Mkaka mzuri,mstaharabu sio bahili.
Nikampenda,tukapendana sana tukalana sana adi mimba na sasa tuna katoto kazuri ka miezi 10.
Baby dady mie na Cary tunakupenda.
 
Umenigusa, ngoja niweke shuhuda. Mm nlicomment page fulan ambapo mtu alkua anatafuta mke. Kaweka kigezo asiwe kibonge. Basi nikacomment akitokea anayetaka vibonge mnishtue. Watu wakalike wakacheka palee. Nakuta dm asalaam aleykum ndo nmekuja. Nkaulza wap mana kama wiki imepta skumbuk ni about post. Akasema si ulisema wanaotaka vibonge waje ndo nmekuja. Nkachukulia masihara nkamwambia asinitanie nkawaza kaz yake m na watu wanaojulikana wap na wap. Nkahisi atakua mtu wa club etc loh asalalee. Thank God nlimpa namba. Chat sana sku tunaonana nlkua na butterflies tumbon balaa sijiamin. Aliponikiss uwii[emoji39] best kisser. Kama aliona hofu yang ilichukua mwez ndo akala tunda. He is so caring. Sijawah pendwa vile toka nazaliwa. Mapepe yote nimeacha. Mungu alinde penzi letu inshallah. Asante insta
Weeeee
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119] shouga had wewe!!!
kama ile kitchen part haikukusaidia mimi nisemaje sasa,kaka wa watu alikufunda hadi akaahidi vyombo ila wapi
 
Back
Top Bottom