Mahusiano ya mtandaoni

Usitucheleweshe lewa huku unasimulia [emoji38][emoji38][emoji38]hatuna muda

Shosti upo?? Hii story natakiwa nilewe ili kesho niisingizie pombe sio mimi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Shosti upo?? Hii story natakiwa nilewe ili kesho niisingizie pombe sio mimi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We yamwage tucheke yaishe.....me nmesimulia zile zinasimulika Kuna moja hiyo nashindwa jinsi ya kuandika 😅😅😅😅
 
[emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
We yamwage tucheke yaishe.....me nmesimulia zile zinasimulika Kuna moja hiyo nashindwa jinsi ya kuandika [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Hiyo ndio nzuri ilete [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Oooh congratulations dear, kumbe nianze kuwa serious pia, kasalimie katoto kenu🥰
 
Basi ntalipaa..maana hushindwi kupiga makelele ukajaza watu[emoji3][emoji3]



MNIGERIA

Here we go [emoji3059].Basi hekaheka za dating app zinaendelea siku moja pitapita zangu hapa na pale nikamatch na mnigeria huyo picha alikua mtu wa maana bonge la bwana kala kaunda sut nini hapo magari makali simu kali we nikasema mambo yangu haya hapa pesa ipo Ntaomba tu ngoja nimpee time
basi bwana nikamacth na myoruba tukachat tukaamia watsapp bas story za hapa na pale nin na mim binasfi huwa sidili na wanaoanza na neno hookup ninatype yangu naitaka wakaka wastarabu nikitupa jiwe lzima limpate najifanya malkia sina shida kumbe [emoji1787][emoji1787]

Basi katika kuchat na myoruba akanisihi sana niende kwake kwakua hakutangaza ngono maana yake ni just meeting tule na kupiga story

Shoga enu sasa nikavaa verewere nikapendeza nikarzquest bolt huyo mpka upanga hapo fika pale eeeh ss mnigeria huyu mbona anakaa studio apartment kama kawaida yangu aaah atajua mwenyewe mie ngoja nikamuone

Nikampigia hlw nimefika akasema panda lift mpka floor flan jamn nilipanda lift hapo kuna tuwatu twa maana nikafika juu nikamkuta mniger wangu kafungua mlango ananisybiri koridoni

mtume roho yangu jamani kumuona hivi yule baba ni anamwili mkubwa sijawahi ona live yan yeye ndo wa kwanza kumuonakwa macho ya nyama nje ya Tv

Baba ni mrefu mpana kama mpana tena yani me shoga enu ni mrefu na ninakimwili kati lkn kwa yule baba nilikua mtoto wa form 1 D sasa nilihis joto huku na mfuata the guy alikua anaguna kama waganga wanigeria wa kwenye movie like mmmmh mmmh mmh yan nikama ana apricciate mali safi imekuja

akanikalibisha ndani uwii natetemeka mpaka meno yagongana akasema areyou okay ama nizime AC yan nilikua sielewi sasa natapatapa akiguna ule mguno wake mim nastuka[emoji23]

Yule baba akaenda kukaa kwenye kiti akanigeukia akaniuliza vip hujanipenda
Nikajibu no kwann unasema hivo akasema nakuona umepoa sana mim ni mtu mzuri ty kuwa na amani dear kidogo tena akaguna mmmmmh mmmh fine girls fine girl kama chief onkwonkwo Huku ananitazama analiza umri wangu na mambo mengine

najichekesha tu nimekua mdogo namuogopa yan anamwili mkubwa hakuna aiseee sauti kubwa niliwaza nisipotilewa figo leo sjui na ilikua mara yakwanza n mwisho kuingia ndani kwa mtu maana nilizoea outdoors tu nukaona nimuulize dear honestly wew na picha ni tofauti yani your too big hahaa nakichekesha

Alcheka kicheko kikali we mim nikabinya macho sauti nzito eti kwel kwahiyo hapa me mkubwa
Nikitupa jicho mkono wake jaman kiganja ni mikon yangu mitatu mguu wake khaa yule ni gient

Basi akanipa story za hapa na pale kwanza hata nilikua sizielewi nawaza tu niombe hela nisepe zangu akadai yeye ni pasta sijui nin hapo akanifundisha kumtegemea Mungu akanipa mifano yake alimuamini Mungu na alimuona na vifungu vya biblia akanisimulia yy alikuja bongo akawekeza katilka hizi microfinace na mwisho watz kulipa ikawa mtihaani kwahiyo amefilisika mnoo

Akasema hapa nilipo nina elfu 50 tu nimepewa na rafiki angu yani hiyo kauli ndo aliharibu kabisa na mood ya story ilikata me sipendi poteza muda afu umeniita chumban kwamba uniombe kipochi manyoya na hiyo 50 yako unaleta janja janja za nyani huli kitu hapa nilimtathimin moyoni sijawahi kuliwa bure kizembe huyu mniger analeta janja huyu we ngoja

Nikawa tu humble huku nikiwaza hiyo elfu 50 tutagawana ip mimi nayy[emoji23][emoji23][emoji23] shoga enu nina tamaaa mnisamehe tu na poleni me nilivomuona nilijua tutaonana ni getlemen tupige story nimuombe tupite super market nifanye shopping maana ni mbaba si unajua wababa waelewa kumbe nae njaa tu yan ananipa story yake me mwenyewe nina magumu kibao wazazi sina naelewa basi naishi kwa akili nishalala njaa sana nishalala chini natandika nguo nishapenda sana nikatendwa,nishakataliwa nikasemewa uongo,nishakaa kwa marafiki nikafukuzwa,nishatembeza uji,nimesoma sina kazi mambo mengi nimelia sshiv nimezoea nimetoboa nisababu niliamuakuwa jasiri natumia tu akili na kujituma na Mungu nimetoboa yy ananisimulia vitu naona vidogo afu kama anaipotezea muda hata msosi haitishi

hivi huyu anasimulia shida zake tu hapa mwili mkubwa hivo anashindwa kubeba mambo kama hayo me nimsaidie nin sasa ninshida zangu kibao nawaza huku natazama guu lake la futi 7 limepauka hatari halina futa afu ananiitaje hana hela hata kama ni story kwanza sijala story sielew ye mwenyewe anatisha anatishia tu hapa

Yule baba akasimama akaja kitandani kwanza alinipa korosh zinapili pili ya dunia nikashindwa na urafi wangu akanipa juice kisha akaja kukaa kitandan pembeni yangu maana studio apertment ni chumba kimoja kina choo na sehem ya kupikia

Basi alipokaa kitanda kikalalamika kakakaka we nikainuka najichekesha eeh nilijua chadondoka hivo akacheka wala kaa tu nikashusha pumzi nikameza mate eeh huyu nimuagaje mm sitaki kukaa hapa mm

Najiyliza mbona kanifuata jamani tena huyu baba me mtoto wa binadam mwenzie anataka nini na huo mwili kama sio kuniua mimi jaman

Akasema my dear last time umefanya check up ni lin nikasema juzi shoga enu sasa [emoji23][emoji23] sijawahi hata kupima na sina mpango etu naomba tupime tena

We nikamwambia baba pima mwenyewe kama unataka kujua afya yako unipimishe na mimi kwn unataka tufanye nin kupima ni hiali tu kashasema [emoji1787][emoji1787] anavotisha mweusi hatari sauti kama radi

Nikagoma akasimama kufuata vipimo moyo uliniruka mm jaman nilipiga hesabu nikimbie nikazungusha macho naona anaviatu pea 3 kama vya tandale vya 200 ukiwa saa 10 asubuhi [emoji23][emoji23] nyie yan sikuona cha maana anachomiliki

Wakati namchunguza mara paa kaja na vipimo me nikaendelea kugoma kwamba sitaki jamn hakuongea kitu alinikamata mkono akanivuta relax akanitoboa chwaa ewii[emoji15][emoji15]

Missy Gf Just Nana
 
😆😆😆😆😆😆😆uliingia cha kike shogaangu ila waniger ni matapeli wa Dunia
 
Uliyekuja Dm kwangu ukanisalim nikakujibu na ukakaa kimya mbaka sasa miez please usikute we ndo mume wangu jaman[emoji3] naomba uje tumalize canvazeshen yetu.
Naona hii thread inanipa nguvu ya kujibu pm's.
Jamaniiii....watu wapo dear, akikuja pm just be you, unaweza mchek pia

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Nashindwa kuwatag, mpite na kule entertainment nimepost simulizi inaitwa mama mkwe, kwa alievutiwa na maandishi yangu....ipo episode ya nane, mambo ni bullbull

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…