YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
Chukua chupa zima la tequila, bill on me cute[emoji3]
Sawa subiri basi nilewe, nianze kukupa mchapo shosti [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukua chupa zima la tequila, bill on me cute[emoji3]
Hadi ulewe tena😀😀 simulia kwanza ndiyo ukajipooze na kinywaji, kama ni hivyo silipi nakwambia😀Sawa subiri basi nilewe, nianze kukupa mchapo shosti [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hadi ulewe tena[emoji3][emoji3] simulia kwanza ndiyo ukajipooze na kinywaji, kama ni hivyo silipi nakwambia[emoji3]
Usitucheleweshe lewa huku unasimulia 😆😆😆hatuna mudaSawa subiri basi nilewe, nianze kukupa mchapo shosti [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usitucheleweshe lewa huku unasimulia [emoji38][emoji38][emoji38]hatuna muda
We yamwage tucheke yaishe.....me nmesimulia zile zinasimulika Kuna moja hiyo nashindwa jinsi ya kuandika 😅😅😅😅Shosti upo?? Hii story natakiwa nilewe ili kesho niisingizie pombe sio mimi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja nipate pension yangu mwezi ujao nione kama nitaitwa Daddie kama ulivyosema 🤪Hela unayo au hauna.......ukiwa na hela tunakuita daddddiii🤪
[emoji1787][emoji1787]Nilipewa namba yake na rafiki, sikuwahi kumuona tukafahamiana kwa kuchati watsapp.... Tukazoeana mpaka tukaja kukutana....
Ilibidi nimpotezee kwasababu niliambiwa baba yake ni mwanajeshi aliiba simu yake akasoma meseji zangu akawa ananitafuta[emoji23]
Ko zile pics ulipiga studio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We yamwage tucheke yaishe.....me nmesimulia zile zinasimulika Kuna moja hiyo nashindwa jinsi ya kuandika [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Unayumba aisee
Basi ntalipaa..maana hushindwi kupiga makelele ukajaza watu😀😀Wee nishaagiza huku usinitanie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unataka nilie kinaijeria nikianza kuletewa bill
Oooh congratulations dear, kumbe nianze kuwa serious pia, kasalimie katoto kenu🥰Na mie Nicomment.
Wangu nilikutana nae apa,alipost na nikapendezewa na thread yake.
Mawasiliano yakaanza,na siku ya kwanza tunaonana moyoni mwangu kabisa nikajua yeye ndiye.
Mkaka mzuri,mstaharabu sio bahili.
Nikampenda,tukapendana sana tukalana sana adi mimba na sasa tuna katoto kazuri ka miezi 10.
Baby dady mie na Cary tunakupenda.
Basi ntalipaa..maana hushindwi kupiga makelele ukajaza watu[emoji3][emoji3]
😆😆😆😆😆😆😆uliingia cha kike shogaangu ila waniger ni matapeli wa DuniaMNIGERIA
Here we go [emoji3059].Basi hekaheka za dating app zinaendelea siku moja pitapita zangu hapa na pale nikamatch na mnigeria huyo picha alikua mtu wa maana bonge la bwana kala kaunda sut nini hapo magari makali simu kali we nikasema mambo yangu haya hapa pesa ipo Ntaomba tu ngoja nimpee time
basi bwana nikamacth na myoruba tukachat tukaamia watsapp bas story za hapa na pale nin na mim binasfi huwa sidili na wanaoanza na neno hookup ninatype yangu naitaka wakaka wastarabu nikitupa jiwe lzima limpate najifanya malkia sina shida kumbe [emoji1787][emoji1787]
Basi katika kuchat na myoruba akanisihi sana niende kwake kwakua hakutangaza ngono maana yake ni just meeting tule na kupiga story
Shoga enu sasa nikavaa verewere nikapendeza nikarzquest bolt huyo mpka upanga hapo fika pale eeeh ss mnigeria huyu mbona anakaa studio apartment kama kawaida yangu aaah atajua mwenyewe mie ngoja nikamuone
Nikampigia hlw nimefika akasema panda lift mpka floor flan jamn nilipanda lift hapo kuna tuwatu twa maana nikafika juu nikamkuta mniger wangu kafungua mlango ananisybiri koridoni
mtume roho yangu jamani kumuona hivi yule baba ni anamwili mkubwa sijawahi ona live yan yeye ndo wa kwanza kumuonakwa macho ya nyama nje ya Tv
Baba ni mrefu mpana kama mpana tena yani me shoga enu ni mrefu na ninakimwili kati lkn kwa yule baba nilikua mtoto wa form 1 D sasa nilihis joto huku na mfuata the guy alikua anaguna kama waganga wanigeria wa kwenye movie like mmmmh mmmh mmh yan nikama ana apricciate mali safi imekuja
akanikalibisha ndani uwii natetemeka mpaka meno yagongana akasema areyou okay ama nizime AC yan nilikua sielewi sasa natapatapa akiguna ule mguno wake mim nastuka[emoji23]
Yule baba akaenda kukaa kwenye kiti akanigeukia akaniuliza vip hujanipenda
Nikajibu no kwann unasema hivo akasema nakuona umepoa sana mim ni mtu mzuri ty kuwa na amani dear kidogo tena akaguna mmmmmh mmmh fine girls fine girl kama chief onkwonkwo Huku ananitazama analiza umri wangu na mambo mengine
najichekesha tu nimekua mdogo namuogopa yan anamwili mkubwa hakuna aiseee sauti kubwa niliwaza nisipotilewa figo leo sjui na ilikua mara yakwanza n mwisho kuingia ndani kwa mtu maana nilizoea outdoors tu nukaona nimuulize dear honestly wew na picha ni tofauti yani your too big hahaa nakichekesha
Alcheka kicheko kikali we mim nikabinya macho sauti nzito eti kwel kwahiyo hapa me mkubwa
Nikitupa jicho mkono wake jaman kiganja ni mikon yangu mitatu mguu wake khaa yule ni gient
Basi akanipa story za hapa na pale kwanza hata nilikua sizielewi nawaza tu niombe hela nisepe zangu akadai yeye ni pasta sijui nin hapo akanifundisha kumtegemea Mungu akanipa mifano yake alimuamini Mungu na alimuona na vifungu vya biblia akanisimulia yy alikuja bongo akawekeza katilka hizi microfinace na mwisho watz kulipa ikawa mtihaani kwahiyo amefilisika mnoo
Akasema hapa nilipo nina elfu 50 tu nimepewa na rafiki angu yani hiyo kauli ndo aliharibu kabisa na mood ya story ilikata me sipendi poteza muda afu umeniita chumban kwamba uniombe kipochi manyoya na hiyo 50 yako unaleta janja janja za nyani huli kitu hapa nilimtathimin moyoni sijawahi kuliwa bure kizembe huyu mniger analeta janja huyu we ngoja
Nikawa tu humble huku nikiwaza hiyo elfu 50 tutagawana ip mimi nayy[emoji23][emoji23][emoji23] shoga enu nina tamaaa mnisamehe tu na poleni me nilivomuona nilijua tutaonana ni getlemen tupige story nimuombe tupite super market nifanye shopping maana ni mbaba si unajua wababa waelewa kumbe nae njaa tu yan ananipa story yake me mwenyewe nina magumu kibao wazazi sina naelewa basi naishi kwa akili nishalala njaa sana nishalala chini natandika nguo nishapenda sana nikatendwa,nishakataliwa nikasemewa uongo,nishakaa kwa marafiki nikafukuzwa,nishatembeza uji,nimesoma sina kazi mambo mengi nimelia sshiv nimezoea nimetoboa nisababu niliamuakuwa jasiri natumia tu akili na kujituma na Mungu nimetoboa yy ananisimulia vitu naona vidogo afu kama anaipotezea muda hata msosi haitishi
hivi huyu anasimulia shida zake tu hapa mwili mkubwa hivo anashindwa kubeba mambo kama hayo me nimsaidie nin sasa ninshida zangu kibao nawaza huku natazama guu lake la futi 7 limepauka hatari halina futa afu ananiitaje hana hela hata kama ni story kwanza sijala story sielew ye mwenyewe anatisha anatishia tu hapa
Yule baba akasimama akaja kitandani kwanza alinipa korosh zinapili pili ya dunia nikashindwa na urafi wangu akanipa juice kisha akaja kukaa kitandan pembeni yangu maana studio apertment ni chumba kimoja kina choo na sehem ya kupikia
Basi alipokaa kitanda kikalalamika kakakaka we nikainuka najichekesha eeh nilijua chadondoka hivo akacheka wala kaa tu nikashusha pumzi nikameza mate eeh huyu nimuagaje mm sitaki kukaa hapa mm
Najiyliza mbona kanifuata jamani tena huyu baba me mtoto wa binadam mwenzie anataka nini na huo mwili kama sio kuniua mimi jaman
Akasema my dear last time umefanya check up ni lin nikasema juzi shoga enu sasa [emoji23][emoji23] sijawahi hata kupima na sina mpango etu naomba tupime tena
We nikamwambia baba pima mwenyewe kama unataka kujua afya yako unipimishe na mimi kwn unataka tufanye nin kupima ni hiali tu kashasema [emoji1787][emoji1787] anavotisha mweusi hatari sauti kama radi
Nikagoma akasimama kufuata vipimo moyo uliniruka mm jaman nilipiga hesabu nikimbie nikazungusha macho naona anaviatu pea 3 kama vya tandale vya 200 ukiwa saa 10 asubuhi [emoji23][emoji23] nyie yan sikuona cha maana anachomiliki
Wakati namchunguza mara paa kaja na vipimo me nikaendelea kugoma kwamba sitaki jamn hakuongea kitu alinikamata mkono akanivuta relax akanitoboa chwaa ewii[emoji15][emoji15]
Missy Gf Just Nana
Jamani...so sweetOooh congratulations dear, kumbe nianze kuwa serious pia, kasalimie katoto kenu[emoji3059]
Jamaniiii....watu wapo dear, akikuja pm just be you, unaweza mchek piaUliyekuja Dm kwangu ukanisalim nikakujibu na ukakaa kimya mbaka sasa miez please usikute we ndo mume wangu jaman[emoji3] naomba uje tumalize canvazeshen yetu.
Naona hii thread inanipa nguvu ya kujibu pm's.
Jamani jamaniiiNgoja nipate pension yangu mwezi ujao nione kama nitaitwa Daddie kama ulivyosema [emoji2957]