Mahusiano ya mtandaoni

Watu mnapatana hapa kwa Maxence eeeee,tu aje tupatane basi, ila akuwe na hela[emoji41][emoji92][emoji28]
 
Kakuzd hd wew uzuri naona
 
Ohhhh dear, so sweet....
 
Tamaa hzo c ushampata wa instagram huyo dada
Yule alishapita bhana, ni kumbukizi inayofurahisha my dear, nikaona si mbaya nikishea na wanajukwaa tupunguze stresss, ata ivyo ni mume wa mtu kwaio hakua permanent , ni ile nafsi ziliongea zikakubaliana, na alitamani tuendelee ila sikuona njema maana hakua mkweli toka mwanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…