Mahusiano ya mtandaoni

Mahusiano ya mtandaoni

Waooooo....hapo chacha, si bora hata ulipewa nauli ya dar- kigoma...Kuna mwamba alinambia ntakutumia kwenye cm ,dooooh [emoji41]....na mimi si ile ustaarabu kujifanya slay mama nini, nikasema poa...
Doooh, kutahamaki , masaa yamesepa niko daaah, mwamba kanipigia tukio na utu uzima wangu , ila haina noma mazeee....

[emoji23][emoji23][emoji23] mimi nauli yabgu nilikula mwenyewe
 
wangu tulikutana hapa jf,first time tunakutana tulikuwa ilikuwa nikama watu waliojuana kwa miaka an it's all b'coz ya uhuru tuliokuwa nao,kuwekana wazi,mawasiliano mazuri,tulijiachia sana japo nikupitia simu ila ilifanya tukazoeana zaidi na nakurudhiana!!siku tulipoonana ana kwa ana tuliishia kutimiza wishes zetu zote na ilikuwa nisiku yakipekee kuwahi kutokea,,namshukuru mungu sasa ni mume wangu,itoshe tu kusema nampenda sana baba T
Kumbe inawezekana kupata ndoa humu😊🤗
 
Ngoja waje..sie wengine tunakutanaga vituo vya daladala tunakimbiwa[emoji38][emoji38]
Ukiomba buku tu ya salio limekuishia unashangaa uko blocked[emoji38]

NB:situmii mitandao yoyote wala sijipost na sijawahi hayo mahusiano.ndo nasubiri Jf kama itanibariki haya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cjui kwann nimechekaaa sanaa
 
wangu tulikutana hapa jf,first time tunakutana tulikuwa ilikuwa nikama watu waliojuana kwa miaka an it's all b'coz ya uhuru tuliokuwa nao,kuwekana wazi,mawasiliano mazuri,tulijiachia sana japo nikupitia simu ila ilifanya tukazoeana zaidi na nakurudhiana!!siku tulipoonana ana kwa ana tuliishia kutimiza wishes zetu zote na ilikuwa nisiku yakipekee kuwahi kutokea,,namshukuru mungu sasa ni mume wangu,itoshe tu kusema nampenda sana baba T

Wee usinambie [emoji7][emoji7][emoji7]

Ndio D au mwingine?
 
Heeee, mi nataka wenye hela
emoji28.png
emoji28.png
emoji28.png
😅😅😅 daah! Kama kiasi gani hivi angalau niwe nacho?
 
Back
Top Bottom