mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
Waooooo....hapo chacha, si bora hata ulipewa nauli ya dar- kigoma...Kuna mwamba alinambia ntakutumia kwenye cm ,dooooh [emoji41]....na mimi si ile ustaarabu kujifanya slay mama nini, nikasema poa...
Doooh, kutahamaki , masaa yamesepa niko daaah, mwamba kanipigia tukio na utu uzima wangu , ila haina noma mazeee....
Sawa🤣🤣🤣🤭Tulia wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usimzuie bhana [emoji28][emoji28][emoji28]
Kumbe inawezekana kupata ndoa humu😊🤗wangu tulikutana hapa jf,first time tunakutana tulikuwa ilikuwa nikama watu waliojuana kwa miaka an it's all b'coz ya uhuru tuliokuwa nao,kuwekana wazi,mawasiliano mazuri,tulijiachia sana japo nikupitia simu ila ilifanya tukazoeana zaidi na nakurudhiana!!siku tulipoonana ana kwa ana tuliishia kutimiza wishes zetu zote na ilikuwa nisiku yakipekee kuwahi kutokea,,namshukuru mungu sasa ni mume wangu,itoshe tu kusema nampenda sana baba T
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cjui kwann nimechekaaa sanaaNgoja waje..sie wengine tunakutanaga vituo vya daladala tunakimbiwa[emoji38][emoji38]
Ukiomba buku tu ya salio limekuishia unashangaa uko blocked[emoji38]
NB:situmii mitandao yoyote wala sijipost na sijawahi hayo mahusiano.ndo nasubiri Jf kama itanibariki haya
wangu tulikutana hapa jf,first time tunakutana tulikuwa ilikuwa nikama watu waliojuana kwa miaka an it's all b'coz ya uhuru tuliokuwa nao,kuwekana wazi,mawasiliano mazuri,tulijiachia sana japo nikupitia simu ila ilifanya tukazoeana zaidi na nakurudhiana!!siku tulipoonana ana kwa ana tuliishia kutimiza wishes zetu zote na ilikuwa nisiku yakipekee kuwahi kutokea,,namshukuru mungu sasa ni mume wangu,itoshe tu kusema nampenda sana baba T
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliWachangiaji wengine msije mkatuletea stories za majini na vibwengo, nawajua watu wa JF kwa fix.
😅😅😅 daah! Kama kiasi gani hivi angalau niwe nacho?Heeee, mi nataka wenye hela
😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cjui kwann nimechekaaa sanaa
Muongo yule dada,,nachekaga sana stori zake🤣🤣🤣🤣[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Au story za kijiwe nogwa kwa Zai.
Hellow ...mambozAisee [emoji2][emoji2][emoji2960],, ngoja nisubiri kusoma shuhuda za watu hapa
Pw mzima 😊🤗Hellow ...mamboz
Una miaka 24...ni kibonge flan,Na huo ndio mkono wa Just Nana....just kukutoa hofu, haya endelea kutiririka...
View attachment 2704754
Yaan nimecheka mbavu zinaumaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤭,, vipi lakin unaendeleajeYaan nimecheka mbavu zinaumaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tunakutana lini vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] maake kwanza nicheke!!!
Nipeni maji ninywe kwanza, hebu nisikitike kidogo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Muongo yule dada,,nachekaga sana stori zake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie Niko poa dear, [emoji182][emoji8][emoji182][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960],, vipi lakin unaendeleaje
tunakutana lini vile