Number ni 26
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,573
- 3,088
Vyovyote vile ila visendo vya manyoya kwa kweli hapana atanikimbiza nduki kali!Kwaio avaaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyovyote vile ila visendo vya manyoya kwa kweli hapana atanikimbiza nduki kali!Kwaio avaaje?
Asante [emoji1787]Kuna Uzi wa wadada wa uswahilini inasemekana wanapenda visendo vya manyoya [emoji28][emoji28][emoji3059]
Hahahaha,kama kuna ukweli hiviKuna Uzi wa wadada wa uswahilini inasemekana wanapenda visendo vya manyoya [emoji28][emoji28][emoji3059]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Wachangiaji wengine msije mkatuletea stories za majini na vibwengo, nawajua watu wa JF kwa fix.
Aisee 😃😃😃🤣🤣🤣Nlipataga mama humu moja
Comments za kipisi kali kingereza mingi
nikaona ewaa mtoto kaja Dm tukaongea mwsho namba zikatoka
Kwenda whatsap nkamtumia picha tufahamiane (that was a grave mistake)
Ving'ora vikaanza Wow wow wow
Kuja kutuma yeye nikabaki hiiiih
Sikuamini nkampgia video call La haula almanusura ntupe simu
Sjui yupo wapi saivi Aggy wa jukwaa la entertainment
Jirani shuhuda yako please [emoji1][emoji1]
Nimecheka kama mazuri walahiii[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Nlipataga mama humu moja
Comments za kipisi kali kingereza mingi
nikaona ewaa mtoto kaja Dm tukaongea mwsho namba zikatoka
Kwenda whatsap nkamtumia picha tufahamiane (that was a grave mistake)
Ving'ora vikaanza Wow wow wow
Kuja kutuma yeye nikabaki hiiiih
Sikuamini nkampgia video call La haula almanusura ntupe simu
Sjui yupo wapi saivi Aggy wa jukwaa la entertainment
Sawa myKuishi Arusha kuliniharibu, vumilia tu....pambana na content wangu
Same to me 🤣Nlipataga mama humu moja
Comments za kipisi kali kingereza mingi
nikaona ewaa mtoto kaja Dm tukaongea mwsho namba zikatoka
Kwenda whatsap nkamtumia picha tufahamiane (that was a grave mistake)
Ving'ora vikaanza Wow wow wow
Kuja kutuma yeye nikabaki hiiiih
Sikuamini nkampgia video call La haula almanusura ntupe simu
Sjui yupo wapi saivi Aggy wa jukwaa la entertainment
Yamekukuta yapi jirani mbona mapema sana 😃😃😃😃Bado nasikitika nipe glass 1 ya shots kwanza nianze kutoa ya moyoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa wewe lazima niruke nawe pm napenda sana mashangazi 😄Halafu mbona nimeslay sana my wangu, kuna nyuzi ukinikuta huko ntakuvuruga kuijua jinsia, leo metoa na code kabisa kua mi ni mama nisipitwe[emoji28][emoji28][emoji28]
unaponza vijana we shangazi😂Na huo ndio mkono wa Just Nana....just kukutoa hofu, haya endelea kutiririka...
View attachment 2704754