Mahusiano ya mtandaoni

Mahusiano ya mtandaoni

Mara nyingi sana haya mahusiano huishia njiani. Ni kama wa bongo bado sana ktk mahusiano ya mtandaoni...wabongo tushazoea tunakutanaga barabaran, daladalani, vichakan, ktk masomo n.k hizi ma dating sites izi au haya ma social network ni tuviepuke
 
Nlipataga mama humu moja
Comments za kipisi kali kingereza mingi
nikaona ewaa mtoto kaja Dm tukaongea mwsho namba zikatoka
Kwenda whatsap nkamtumia picha tufahamiane (that was a grave mistake)
Ving'ora vikaanza Wow wow wow
Kuja kutuma yeye nikabaki hiiiih
Sikuamini nkampgia video call La haula almanusura ntupe simu

Sjui yupo wapi saivi Aggy wa jukwaa la entertainment
 
Aisee 😃😃😃🤣🤣🤣
 
Nimecheka kama mazuri walahiii[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nlipataga mama humu moja
Comments za kipisi kali kingereza mingi
nikaona ewaa mtoto kaja Dm tukaongea mwsho namba zikatoka
Kwenda whatsap nkamtumia picha tufahamiane (that was a grave mistake)
Ving'ora vikaanza Wow wow wow
Kuja kutuma yeye nikabaki hiiiih
Sikuamini nkampgia video call La haula almanusura ntupe simu

Sjui yupo wapi saivi Aggy wa jukwaa la entertainment
Same to me 🤣

Nitarudi
 
Back
Top Bottom