Mahusiano ya mtandaoni

Mahusiano ya mtandaoni

wangu tulikutana hapa jf,first time tunakutana tulikuwa ilikuwa nikama watu waliojuana kwa miaka an it's all b'coz ya uhuru tuliokuwa nao,kuwekana wazi,mawasiliano mazuri,tulijiachia sana japo nikupitia simu ila ilifanya tukazoeana zaidi na nakurudhiana!!siku tulipoonana ana kwa ana tuliishia kutimiza wishes zetu zote na ilikuwa nisiku yakipekee kuwahi kutokea,,namshukuru mungu sasa ni mume wangu,itoshe tu kusema nampenda sana baba T
aisee, hongera
 
Mtu wa kunipigia simu anionyeshe vitu vya ajabu naenda naye wapi??? Zaidi ya kumpa block.

Mimi mtu pekee niliyekutana naye mtandaoni ni babe wangu wa siku zote…………?!!
Tupe short story ilikuwaje?
 
Meeting point Ni ile ile mlimani city au tubadilishe.

Fanya nilete ushuhuda jukwaani mapema.

Vielelezo vingine utavichukua kwa mywani wangu Antonnia
Muende ata wavuvi my wangu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom