Mahojiano hayo hapo chini yanatoa mwanga kuhusu hujuma za Uganda dhidi ya DRC.
Bukyanagandi , MALCOM LUMUMBA, MK254, Geza Ulole
Bukyanagandi , MALCOM LUMUMBA, MK254, Geza Ulole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahojiano hayo hapo chini yanatoa mwanga kuhusu hujuma za Uganda dhidi ya DRC.
Huyu Mzee M7 amekuwa mtu wa hovyo sana.
Atamaliza siku zake kwa kupoteza heshima aliyojijengea alipokuwa bado anazo akili nzuri.
Katika watu wasioaminika kabisa sasa hivi ni huyu, pamoja na "Bahima Empire"mwenzake.
Kuwamaliza hawa ni kuipa vifaa DRC ipige Kigari kwa wanyarwanda kwanza nao waone hasara za vita. Kisha watue entebe..umeona eeh?
..M23 walishabamizwa na kutimuliwa DRC na vikosi vya SADC.
..Wakakimbilia Rwanda na Uganda na kupewa hifadhi.
..Sasa wamerudi kwa nguvu na ari mpya.
EeeenHeeee!Kwa hiyo kama kenya imepeleka majeshi yake na juzi Tshesejedi kaja Bongo inamaana itakuwa tz+kenya vs Rwanda+uganda!?
Hatma ya EAC itakuaje!?
Kazi kweli kweli!
Nitashangaa sana Tanzania akikubali uhayawani huo.Kwa hiyo kama kenya imepeleka majeshi yake na juzi Tshesejedi kaja Bongo inamaana itakuwa tz+kenya vs Rwanda+uganda!?
Hatma ya EAC itakuaje!?
Kazi kweli kweli!
drc kapeleka sukho-25,rubavu rwanda na kurudi drcKuwamaliza hawa ni kuipa vifaa DRC ipige Kigari kwa wanyarwanda kwanza nao waone hasara za vita. Kisha watue entebe
Hatuwezi kujitoa, ukitoa faida nyingi za kuwepo huko lakini moja ya hasara kujitoa ni kuipa Kenya nguvu zaidi kuwa na influence nchi hizo na sisi kupoteza kabisa. Bado tuna ushawishi nchi hizo lazima tusimame nao.Nitashangaa sana Tanzania akikubali uhayawani huo.
Kwanza tayari tupo SADC, ya nini tena turukie kwenye hii jumuia ya wahuni?
Tubakie huko huko SADC na mchango wetu huko.
Huenda hukuelewa nilichokusudia.Hatuwezi kujitoa, ukitoa faida nyingi za kuwepo huko lakini moja ya hasara kujitoa ni kuipa Kenya nguvu zaidi kuwa na influence nchi hizo na sisi kupoteza kabisa. Bado tuna ushawishi nchi hizo lazima tusimame nao.
Natamani Rwanda uwe mkoa wa Tz