Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Hebu kuwa mkweli hapa katika hili jambo, ukiulizwa Leo kwamba mahusiano yamekupa faida gani au maendeleo yapi unawezaje kujibu
Vijana wengi tunejikita sana na kutumbukia katika hili janga la mahusiano bila kutambua faida ama hasara gani zilizopo humo
Let's majibu hapo
Vijana wengi tunejikita sana na kutumbukia katika hili janga la mahusiano bila kutambua faida ama hasara gani zilizopo humo
Let's majibu hapo