malikia balqiis
Senior Member
- Apr 28, 2023
- 118
- 189
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamna faida Bali n kumaliza tu nguvu za kiume kwa k za ajabu ajabu zenye mikosi na mafangasi tu
Huyu jirani yangu kichaa hapa natype tyr kashasema usinune hata km shangingi ๐น๐น๐น[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguu sometimes watu wanaboa ujue? Nilishawahi mjibu mtu, had walio pembenii waliduwaaa. Inakeraa ujue. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo jirani ako kachachukaa vibayaaa!!! Em mzoeee.Huyu jirani yangu kichaa hapa natype tyr kashasema usinune hata km shangingi [emoji81][emoji81][emoji81]
Yani kuna maneno ananifundisha mpk nishakuwa addicted na mineno yake.!!
Ananipa burudani sanaโa ๐๐๐[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo jirani ako kachachukaa vibayaaa!!! Em mzoeee