Mahusiano yamevunjika, kisa nimemuambia nywele za bandia sizipendi

Mahusiano yamevunjika, kisa nimemuambia nywele za bandia sizipendi

dawa yao ni kuwaambia dada nimependa nyweke zako/dada una nywele nzuri.. kisha subiri jibu.
 
Siku nyingine kuwa makini, mwanamke usimwambie ukweli just kumzumguka, baadae yeye mwwenye ataelewa nini unamaanisha
 
pole..!! comrade usirudie tena tumeambiwa tuish nao kwa akili
 
dawa yao ni kuwaambia dada nimependa nyweke zako/dada una nywele nzuri.. kisha subiri jibu.
kilicho nikera zaidi anashonea kabisa kichwani aisee kuoshwa zenyewe hazioshwi ebwana eeh uvumilivu ulinishinda nikamchania sa ndo kamaindi eti..
 
Wala hata usiumize kichwa....Endelea na maisha yako kwani KE ni yeye dunia nzima asikuendeshe kizembe ati!! Kisa Nywele tu ndio anamind, kwanza usishangae ndio kawaida yao....
Sijui ananipima upepo natuma text hata hajibu
 
Sijui ananipima upepo natuma text hata hajibu
Achana nae, cha kufia nini Kwani umekufa na kuoza kwake??? kama ni vipi Block mawasiliano yake yote asikutafute, kama alikuwa anakupima upepo atarudi mwenyewe analia
 
Utakuta mwenzako alikua anaficha kipara au kichogo kama cha TV za zamani...
 
hakuna makitu siyapendi kama hayo, yana harufu flani ya kukera si kidogo.

kama kauchuna nawe uchune tu (jikaze ) atardi akiwa na upara maisha yaendelee.
 
Pesa ya kusukia ulikuwaga unampa?
nampaga tu pesa za matumizi anazohitaji ndo zingine anapeleka huko kwenye matumizi ya nywele si unajua,mapenzi yakiwa yamotomoto unakausha tu hata kama kuna kitu kinakukera ila inafikiaga mwisho ndo kama hivyo
 
Back
Top Bottom