Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kilicho nikera zaidi anashonea kabisa kichwani aisee kuoshwa zenyewe hazioshwi ebwana eeh uvumilivu ulinishinda nikamchania sa ndo kamaindi eti..dawa yao ni kuwaambia dada nimependa nyweke zako/dada una nywele nzuri.. kisha subiri jibu.
Achana nae, cha kufia nini Kwani umekufa na kuoza kwake??? kama ni vipi Block mawasiliano yake yote asikutafute, kama alikuwa anakupima upepo atarudi mwenyewe analiaSijui ananipima upepo natuma text hata hajibu
Nasubiria mapovu ya TEAM MAWIGI nina nguo nataka niloweke nifue kesho [emoji23][emoji23][emoji23]Afadhali
Team natural wahini jimbo lipo wazi hili
Wewe mwenyewe umesema umeropoka, na ukweli hausemwi kwa kuropoka, kosa lako, omba msamaha yaishesa jamani kosa kusema ukweli?
nampaga tu pesa za matumizi anazohitaji ndo zingine anapeleka huko kwenye matumizi ya nywele si unajua,mapenzi yakiwa yamotomoto unakausha tu hata kama kuna kitu kinakukera ila inafikiaga mwisho ndo kama hivyoPesa ya kusukia ulikuwaga unampa?