Mahusiano yangu yapo kwenye mgogoro, msaada unahitajika

Mahusiano yangu yapo kwenye mgogoro, msaada unahitajika

ni kweli sijaoa kaka lakini tunaishi wote takribani miaka 6 sasa...hapo kunautofauti gani na mtu alie oa...? harafu wazazi wote wanafahamiana...si ni kama wana ndoa tu hadi tumezaa...kweli
unajua anafikiria nini juu ya kukaa miaka 6 bila ndoa?
 
Pole,,, Ila usimwache inawezekana yupo kwenye msongo wa mawazo, Jaribu kuongea naye Ili ujuwe tatizo lipo wapi pia Jaribu kumuuliza km anatumia njia za uzazi wa mpango.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
asante...njia za uzazi wa mpango huwa zinapunguza hamu kwani...?
 
Mie sina msaada Ila ujue tu kuna vitu vidogo vidogo ambavyo wanaume huwa mnahesabia ni minor kumbe vinamla mwanamke ndani ndani.
dah....bado umeniacha njia panda...kiuwezo bado sina uwezo mkubwa...kihivyo si unajua ndoa inahitaji bajeti...na yeye analijua hilo
 
Mgogolo ndio nini? Kama hujui kutofautisha r na l Bora akuache tu maana inaonekana yeye ni msomi na wewe ni kilaza hamuwezi kuendana.
 
dah....bado umeniacha njia panda...kiuwezo bado sina uwezo mkubwa...kihivyo si unajua ndoa inahitaji bajeti...na yeye analijua hilo
Ndoa inahitaji bajeti gani?
Zaidi ya kwenda kwa mchungaji
 
Usiongee nae mwenyewe waute wajomba mashangazi zake mkae kikao pamoja mliongelee hili,usimlazimishe akupende
 
ni kweli sijaoa kaka lakini tunaishi wote takribani miaka 6 sasa...hapo kunautofauti gani na mtu alie oa...? harafu wazazi wote wanafahamiana...si ni kama wana ndoa tu hadi tumezaa...kweli
Tofauti ipo sababu mnazini tu,mungu haiujui iyo
 
ni kweli sijaoa kaka lakini tunaishi wote takribani miaka 6 sasa...hapo kunautofauti gani na mtu alie oa...? harafu wazazi wote wanafahamiana...si ni kama wana ndoa tu hadi tumezaa...kweli
Acha utetezi mkuu,hapo bado hujaoa.Ndoa,ina ithibati.
Ushauri wangu kwako;
Zungumza nae,mpe nafasi akueleze ya moyoni,ili upate pa kuanzia.
 
Nina swali hapa, naitaji kujua nini mpango wenu wa maisha ya mbeleni namaanisha inshu ya ndoa, pia yawezekana aoni mwelekeo wako wa maswala ya kupeleka mahali kwao ndio mana inampa mawazo mengi that's y akawa anapoteza hamu ya tendo la ndoa.
 
asante...kikweli na muwaza sana mtoto wangu...kwa kipato changu cha sasa sina uwezo wa kukigawa mara mbili....hapa nitachanganyikiwa...tu
Usijikatie tamaa jana siyo leo Mungu atakusaidia ila kama vp mchukue mwanao ulee mwenyewe
 
Kwa miaka 6 unaishi kwake.

Baada ya kupata kazi, mchango wako wa kifedha kwenye familia ukoje?

Umesema hujui kiasi anachopata, je unadhani kati yenu nani anapata zaidi?
 
Labda kama sijui kusoma, umeshasema " nimeamua kumuacha"" sasa Unataka ushauri gani?? Haujiamin katika mawazo yako??
STRONG MAN STAND ON HIS WORD
IMG_20201226_083250_349.jpg
 
Back
Top Bottom