Mahusiano yangu yapo kwenye mgogoro, msaada unahitajika

Mahusiano yangu yapo kwenye mgogoro, msaada unahitajika

Jomba Jomba..kesho napo kichapo

Sema fresh kwa kumshauri mwana
Sisi vibonde wetu ni man u na chelsea. Wewe tulishakupiga tukikikosa kibonde hichi tunaenda kutambika
 
ni kweli sijaoa kaka lakini tunaishi wote takribani miaka 6 sasa...hapo kunautofauti gani na mtu alie oa...? harafu wazazi wote wanafahamiana...si ni kama wana ndoa tu hadi tumezaa...kweli
Mkuu...Hakuna ndoa hapo...huo Ni mfano was ndoa.
Wewe Kama muisilamu hujui ndoa inakuwaje?..
Kuishi Miaka 6 hata 30 Kama hamjaoana ..Sio ndoa..
Nahuko kubariki ndoa ndo mnafanyaje yaani?
 
Hakuna kosa kubwa la kusababisha kumuacha, endelea kumvumilia Mambo yatakaa sawa
 
Pole,
Ila inaonyesha huyo mwanamke hakukupenda toka mwanzo, desperation ya mwanaume wake kuwa mbali ndiyo iliyomleta kwako, hivyo ile excitement imeisha ikaondoka na hisia zake,

Mambo ya ndoa yananizidi uwezo, ngoja wanandoa wenzio waje kukupea somo, ujue cha kufanya..!!

nimefurahi kukuona
Sikukuu njema
 
Huwa nawashangaa sana wanaume waliooa af wanalalamika wananyimwa papuchi..naelewa unaweza kunyimwa one day mama hajiskii lakini in long run bado unakuwa unabaniwa i don't get it..

Japo case yako ni tofauti..wewe hujamuoa
Ukioa utagundua haya yapo,unakuwa na kiu na mwenzako ila yeye harespond kwa namna yoyote ile,yani yuko cold,na nguvu anayotumia kukukataa ni kubwa kiasi cha kwamba hamu inakatika kabisa,kwahiyo usishangae mwanandoa kukaa mwezi mzima bilabila...
 
Hiyo hali hutokea mbona kwa wanawake wengi tu na mtu usipokuwa makini unaweza dhan anachrpuka but chunguza kadri ya uwezo wako utakuja hachepuki

Tiba ni kutafuta wana saikolojia wamjenge kwa muda atarud sawa
 
Mimi nakushauli hivi...mwambie aende nyumbani akapumzike .. yaani Fanya kama unamuacha vile Ila usimuoneshe kama umemuacha halafu usimpigie simu mpaka yeye atakapokutafuta.
Nakupa miez 2 tu, life litampiga na ataludi Kwa heshima zote...Kwa Sasa anakula , kulala na amekuzoea anakuona kama baba kaka vile.
 
Ushauri mzuri huuu

Ila pia tafuta mchepuko piga zako mdogo mdogo kama unamuonea huruma mtoto wako

Pia zungumza nae kama kuna issue yoyote mmalizane maisha magumu jamaa yangu stress za mapenzi hazina nafasi kwasasa
 
huyo mmachame hakupendi.
pia kuna anayemtimizia haja zake ndio maana hana hamu nawe kabisa.
Stuka huyo mmachame ana mwanaume ,
 
mimi ni kijana ambae nipo kwenye umri wa kuuvuka ujana na kuuendea utu uzima. miaka ya nyuma mara kadhaa nimeshawahi kuumizwa sana kwenye mahusiano. ilifikia kipindi nikaamua kuyapa kisogo mahusiano. mbinu haswa niliyokuwa naitumia ni ku hit and run.
ila baadae miaka 6 nyuma nilikuta na msichana wa KIMACHAME nilimpenda akanipenda ila kwa bahati mbaya alikuwa na mpenzi wake tuseme walikuwa kwenye long-distance relationship hope uzalendo ulimshinda huyu msichana tukajikuta tumeingia kwenye mahusiano, akamuacha mpenzi wake waliosoma wote chuo huko mwanza.

Hisia zikishapotea hata ufanye nini unapoteza muda tu huyo anakuvumilia tu ila huenda hata akikuona anatamani ungebaki huko unamkera sana tu. Mkuu anza kujiandaa kisaikolojia
 
Mimi nakushauli hivi...mwambie aende nyumbani akapumzike .. yaani Fanya kama unamuacha vile Ila usimuoneshe kama umemuacha halafu usimpigie simu mpaka yeye atakapokutafuta.
Nakupa miez 2 tu, life litampiga na ataludi Kwa heshima zote...Kwa Sasa anakula , kulala na amekuzoea anakuona kama baba kaka vile.
ubaya ni kuwa mimi ndie ninae ishi kwake...hivyo itanilazimu kuondoka bila shaka...na ndio uamuzi wangu huu
 
Back
Top Bottom