Mahusiano yangu yapo kwenye mgogoro, msaada unahitajika

Unaishi local sana,utakaaje kwa mwanamke siku zote hizo?Yani hapo anakuona kama fala flani afu inaonekana hata show yenyewe unapiga mbovu mbovu tu.

Achana nae katafute maisha maadam ana kazi atalea mtoto ukipata chochote utakua unamtumia
 
Angekutana na mm huyo ambaye na penda mwanamke kwa cku moja angelia bila kupigwa
 
Unasema umeamua kumuacha sasa unataka mawazo gani tena mkuu???? Usiingie uwanjani na matokeo mfukoni
 
Kimbia kijana tutakuzika mda si mrefu ...wamachame wasikie tu Kama hujapigwa kipapai atajinyonga yeye
Kwann munapendaga kuwasemea watu uongo jamani? Wamachame are so nice wakikupenda. Shida huja tu kama hawakupendi. Huyu dada ameenda kwa jamaa kwasababu tu mpenz wake yuko mbali naye. Amd maybe pia kazi za jamaa kurudi nyumbani asubuhi imepelekea huko. Kama mwanamke hanpendi basi aondoke tu ula si mambo ya kusema kuana
 
Sasa we fala unaishi kwa demu then umpangie cha kufanya? Hama kwanza wewe jinga kabisa uulize ushauri badae ukishahama.
 
Suluhisho rahisi na kamili ni wewe kuachana naye. Huyo hakufai na wewe humfai. Usilazimishe mapenzi na kamwe usijaribu kulazimisha ndoa.

Pia usisahau kwenda kupima ngoma.
Ukimwi upo, na wewe na mwenzako mlikuwa mnafanya uasherati.
 
Unahudumia familia? Unamipango ya kuitoa familia hapo ilipo?

Unamshirikisha hayo yote? Kuna sababu yoyote iliyofanya msifunge ndoa hadi kufikieni sasa?

Haya yanaweza kumfanya mwanamke akuchukie.
 
ubaya ni kuwa mimi ndie ninae ishi kwake...hivyo itanilazimu kuondoka bila shaka...na ndio uamuzi wangu huu
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Baasi bwana.. sasa hapa ndo balaa lilipo[emoji23]

Mkuu, huyu mwanamke ulinpenda kweli ama kwakua anakupa favours za maisha? Mbona kama sasa unaogopa mukiachana kwakua huna pa kuishi? Basi hiyo ndo hasira yake. Kwa binti wa kichagga na hata yeyote asilani hawezi kukuheshimu. Niishie hapa. Siku njema.
 
[emoji1][emoji1] wamachame walisifika kwa sifa hzo sijui nowadays
kabla sijakoment Sikujua Kama mwamba kaolewa huyu mleta mada anayoyapitia ndo size yake miaka sita unakaa kwa Mwanamke nonsense
 
Kwanza umetaja kabila lake kwa herufi kubwa...

Pili,unasema kumpa mimba mwanamke ambaye sio mkeo ni kubahatika..

Mi naoa uliolewa sasa mwanzo haikuw ana shida sababu wewe ndo ulikuwa mke na yeye alikuwa mume sasa saivi unataka uanaume wako baada ya kupata kazi na hiyo ndo shida.Wanawake wa huko wanaoa, wachache sana wanaolewa.

Kunyimwa unyumba ina sababu nyingi sana
 
[emoji1][emoji1] wamachame walisifika kwa sifa hzo sijui nowadays
kabla sijakoment Sikujua Kama mwamba kaolewa huyu mleta mada anayoyapitia ndo size yake miaka sita unakaa kwa Mwanamke nonsense
Ni uongo. Wanaume wengi walikufa walipoenda vitani against wakibisho. Wanawake ndo waliobaki hivyo wakawa wajane. Mbona ni jamii zote tu mume hutangulia kufa na imeshakuwa kama desturi. Tusiwaharass hivi mabinti. Aisee.

Hapo pa kuolewa jamaa ndo nimechoka. Nilichogundua anapenda kitonga ndo maana anadharaulika. Mbaya sana. Na akipata hela jamaa ytashangaa anamwacha anasema siyo level yake
 
Imagine kwa capital letters. Anataka kumaanisha nn. Watu tuanze kumkandia wakati analishwa yeye? Na kama ni kweli anampenda basi namuombea heri kipato kiongezeka aweze kusimama kama baba. Maybe michongo haijakubali lkn kuishi kwa bibie miaka yote hapana. Kama mwanaume kapange hata vyumba viwili vya elf 30 usimame kama mfalme wa nyumba
 
Anawaza huyu kanizalisha atanioa kweli maana anawaza kunyanduana tu...
Oa uondoe dhahama...




Cc: mahondaw
 
Hakuna kosa kubwa la kusababisha kumuacha, endelea kumvumilia Mambo yatakaa sawa
Muu,hakuna kitu kinachouzi na kukera kama kuwa na mwanamke alafu anonyesha kuvutiwa na mwanaume mwingine huku akionyesha kukupuuza. Hapa ndipo penye kidonda.
 
Haya mambo huwa hayatokei ghafla kuna mahali umeteleza kama mwanaume....jitafakari.....
 

Na shida ilianzia hapo kwenye kushindwa kusimamia majukumu na cheo chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…