Mahusiano yangu yapo kwenye mgogoro, msaada unahitajika


POLE SANA BROO ILA HAYA MATATIZO UMEYATAKA WEWE MWENYEWE KIPINDI UNAANZISHA MAHUSIANO .....

KIPINDI MPENZI WAKO ANA MGOGORO NA MPENZI WAKE ULICHUKULIA KAMA FURSA KUANZISHA MAHUSIANO NA HUYU BINTI WAKATI HUYU BINTI BADO ANAMPENDA MPENZI HIVYO UKAJIONA WEWE BINGWA KWA KUWA UMEJIPANGA KIMAISHA UNA HELA ZAKO UKIAMINI WEWE NDO CHAGUO SAHIHI KWA BINTI UKAVUNJA MAHUSIANO YA WATU
 

Ivi wakati huyu demu anamwacha msela wake aliedumu nae kwa muda mrefu akakufata wewe ivi

Akiri zako zilikuwa wapi ????

Mtu kama kamwacha mpenzi wake aliedumu nae muda mrefu akakufata wewe hukujiuliza huyu demu amekupendea nini mwanangu ?

Na leo hiii amekuacha hujajiuliza kwanini anakuacha ???

Sina cha kukushauli ila broo ulijichanganya wewe na inawezekana demu kamrudia msela wake wa zamani kwako alikuja kuchuma
 
Mtu wake karudi & wamerudiana na ndiye anayemkula huko bob akirudi kwako anakuwa kashashiba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…