Mahususi kwa sisi ambao sikukuu hii tupo tu nyumbani wenyewe kama kawaida

Mahususi kwa sisi ambao sikukuu hii tupo tu nyumbani wenyewe kama kawaida

Mimi kesho nitakuwepo tu kama kawaida yangu.

Basi naona tupeane moyo tu wanajamaa maana sisi wengine tunastress.

Tutumie uzi huu kuwekana bize au kama kunampenzi wa game ile app ya kali linux tuitumie nimesahau jina lake.

Kuwekana bize wale wa bebez nyie tugongeeni tu sisi tutapoa.
Mi nipo mwenyewe tu stress haziishi natamani ningekua na familia yangu lkn nakomaa cku moja nitakua nao
 
Mimi kesho nitakuwepo tu kama kawaida yangu.

Basi naona tupeane moyo tu wanajamaa maana sisi wengine tunastress.

Tutumie uzi huu kuwekana bize au kama kunampenzi wa game ile app ya kali linux tuitumie nimesahau jina lake.

Kuwekana bize wale wa bebez nyie tugongeeni tu sisi tutapoa.
Mabuti ya kijeshi uyaone mafupi mepesi/
Yani kama vile simple toka nduki toka lesi/
Ka risasi ya bunduki au jeti/
No kunyuti no kuketi, wape nafasi wakushoot/
Kama Malcolm X usikubali kubaki/
Uwe pimbi upewe kesi/
Ikibidi jitose ndani ya dimbwi la kinyesi/
Sio suala la uoga,kuogopa ukunguru/
Ila Bora kurogwa kuliko kukosa uhuru/
Wapi Shemponda wapi Jenerali Komba/
Siri Kali Sera Kali cheza mbali na wajomba/
Kimbiaa, mitihani imevuja nyie hamjasikia!?/
Yanini kusoma huku elimu inanunuliwa/
Kimbiaa, Nchi imeshauzwa hii hamna kusikilizia/
TANESCO, Madini Hadi Air Tanzania/
Watoto wa uswazi hawana matumaini/
Ndoto zao ujambazi sababu ya umaskini/
Matapeli wenye shahada kila hatua tatu/
Makahaba wa miaka kumi na tatu/
Maskani kamsitu, vicheche na machatu/
Usipite pekupeku bila kuvaa viatu/
Aaaah Kimbiaaaaaaaa

Rest Easy LANGA (RIP)
 
images (14).jpeg

Nipo alone hapa naangalia THE TOURIST
 
Hatari
 
Back
Top Bottom