Pre GE2025 Maigizo Bungeni: Waziri Nape na viongozi wengine wakaribishwa Bungeni na Roboti Eunice

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sisi tunahitaji Robot za kufanya nini wakati Vijana wetu tena Wasomi wahitimu wa Universities hawana Ajira? Bcoz Robot ni Replacement ya human Labour. Mimi naliona kama Sanamu Fulani hivi๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก
 
Lakini limetengenezwa na watanzania wenyewe au limenunuliwa nje kwa fedha za watanzania kuja kutufanyia usanii?
 
Kuna wabunge watalalamika kwa nini limeletwa la kike na sio la kiume ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ujinga na upuuzi mtupu. Huyo roboti anawasaidia nini kina mama vijijini.
 
Hayo ni maigizo baada ya bunge kukosa mvuto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ