Maigizo ya Balozi Dkt. Nchimbi kwenye mikutano yake yanakidhalilisha chama, abadilishe mapigo kidogo

Hizi siasa za aina hii sio za Nchimbi. Baada ya uongozi wa Magufuli mambo mengi yamebadilika sana kwenye siasa. Style zake za siasa zimebadili mfumo mzima. Ni ngumu sana kuwarudisha wananchi kwenye zile siasa za awamu ya 4 za maneno matupu.
Za vitendo ziko wapi mbona hatuoni results?
 
Kuna jamaa wanamponda kwa siasa zake ila ukweli ni kwamba hizo ndo ambazo wananchi wanazielewa kwa sasa
KKiukweli Makonda ana upuuzi mwingi ila siasa zake kwa sasa ndo zinabamba. Kinyume na hapo wananchi hawaelewi kabisa.
 
Sijui Makonda aliwafanya nini huko nyuma!?, thread inamuhusu Nchimbi umeshakimbilia kwa Makonda, wewe ndo Nchimbi mwenyewe nini umeona umefunikwa!?
Makonda Ni kichaa anayetembee ..sema mfumo Wa nchi umemkumbatia mr.zero

Mfano mkuu Wa mkoa kapewa dhamana YA kumuwakilisha Rai's

Juzi Kati katoa Tamko la kukejeri mwanamke..chama CCM kimeona Ila kina sema Always Makonda yupo juu YA Sheria YA nchi

Katoa Tamko litakuwa Na matembezi maalum YA Landlover Kwa wamilki Wa Landlover Arusha

Kwakuwa Makonda ana Gari la thamani YA TZS 400 million Landlover new model 2023 kaamua kuwa watakuwa Na msafara Arusha Kwa wamilki Wa Gari hizo..Mama yupo Na anamchekea

Wananchi ndio tunaia Kwa vituko vya Wasaidizi wake
 
Eeeh unasemaje?
 
Mkuu anzisha thread nyingine, hii inamuhusu Nchimbi. Server za JF bado hazijajaa.
 
Ukicheza sana na mbwa utaingia naye msikitini ndiyo haya tunayoshuhudia sasa
 
🤣🤣Akitoka hapo anae da mkoa mwingine na kinote buku..sasa hadi akimaliza ziara atakuwa na vinote buku vingapi??
 
Yaaani Nchi kama imerogwa,Watu wenye maono na akili wapo lakini vile Siasa na wana siasa ndio wanaamua mustakabali wa maisha haina budi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…