Somaiyo
Senior Member
- Jul 1, 2022
- 102
- 184
Katika pitapita zangu mjini Mwanza, nimeona barabara kuu mbili zote zina wakandarasi zikiboreshwa kutoka njia mbili mpaka nne, na inasemekana wanaacha nafasi kubwa katikati Kwa ajili ya mwendo Kasi,
Sema sasa MAIGIZO ni mengi yaani ni kama mambo hayaendi!!
Nata to Igoma:- barabara mkandarasi anabandua lami anaacha vumbi 😁 afu kaanzia mabatini 😁😁
Pamba to Buhongwa:- mkandarasi Bado Yuko mkuyuni 😁 na daraja kalizila sijui??😁😁
Niwapongeze serikali angalau wakandarasi wako site ila acheni MAIGIZO kama mnajenga zijengeni kweli muondoe hii karaha!!
Nalile soko la samki mliloliweka mbele ya benki kuu kwakweli mmeuchafua mji vibaya mno, pale mlipaswa KUWEKA eneo la kupumzika na sio soko!!
Lakini pale mnapojenga MADARAJA ya SGR , mlipeni mchina basi apamalizie 😁😁😁 mnatutia aibu bana!!
Msisahau kumalizia na lami ya kwenda hospitali ya wilaya ya Ilemela