Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #21
Asiyejua maana ,haambiwi maana.Wewe kweli ni bogus kabisa
Sasa kwa mfano wewe ukipiga picha ukaandika am just leaving my life here in koromije mana ake unamjibu jirani yako mliegombana?
Mbona unajaribu kuunganisha dots lkn haziunganiki?
Au ulitaka mada yako tuichangie kama hivi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawewe ni kazi yako ni kufatilia ujinga kupitia celebrity forum?ndio kazi yako kufatilia huu ujinga? ningekuwa raisi watu kama nyie nawasweka ndani
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndio naifahamu kama uliyokuwa nayo wewe.Acha uchawi unaifahamu laana au unatamka kama unakula magimbi
#bamia_ndefunene
Sijakosea kuandika Kwamba una laana maana hata maandishi yako yanaonesha hivyo itoshe kukwambia kaokote taka.
Sitamjibu tena aisee
mkuu yule bhoke wa kile kipindi cha eatv??..kinaitwaje sijui!Laana ya kutembea na baba yake mzazi hiyo.
Huyo Mange alishawahi kumdhalilisha mtandaoni mtoto wake wa kumzaa (Bhoke) mpaka huyo mtoto akaone bora akaishi kwa baba yake tu kuliko kuendelea kukaa na Mange.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahahahahahamkuu yule bhoke wa kile kipindi cha eatv??..kinaitwaje sijui!
Kinaitwa Dadazmkuu yule bhoke wa kile kipindi cha eatv??..kinaitwaje sijui!
mkuu yule bhoke wa kile kipindi cha eatv??..kinaitwaje sijui!
We huoni kwamba hapo nimeuliza?? mbona kukurupuka??unamix sana mambo..mtt wa mange sio huyo wa eatv
hahqhaha samahan kukuelewesha mkuu...We huoni kwamba hapo nimeuliza?? mbona kukurupuka??