Maimartha amjibu Mange Kimambi kama Kweli anajiamini aje TZ.

Maimartha amjibu Mange Kimambi kama Kweli anajiamini aje TZ.

Wewe kweli ni bogus kabisa

Sasa kwa mfano wewe ukipiga picha ukaandika am just leaving my life here in koromije mana ake unamjibu jirani yako mliegombana?
Mbona unajaribu kuunganisha dots lkn haziunganiki?
Au ulitaka mada yako tuichangie kama hivi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Asiyejua maana ,haambiwi maana.


Karibu mjini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom