Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #21
Asiyejua maana ,haambiwi maana.Wewe kweli ni bogus kabisa
Sasa kwa mfano wewe ukipiga picha ukaandika am just leaving my life here in koromije mana ake unamjibu jirani yako mliegombana?
Mbona unajaribu kuunganisha dots lkn haziunganiki?
Au ulitaka mada yako tuichangie kama hivi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu mjini.
Sent using Jamii Forums mobile app