Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
kweli KE mna kazikaamua kuonyesha uchi wake watu waone?aibu hii
Hatutaki sasaWanawake wengine acheni ulimbukeni wa teknolojia..mabalaa mengine mnajitakiaga wenyewe, hata kama tupo kidijitali, maadili yazingatiwe
Mnajidhalilisha wenyewe kisa tu ufahari na kutaka sifa zisizo na maana
Kwani siku kaolewa tena shost? Na huyo pdidy wake yupo wp?MTANGAZAJI maarufu wa televisheni Bongo, Maimartha Jesse ‘Mai’ ambaye hivi sasa ni mjamzito, amesema atapenda siku yake ya kujifungua ikifi ka, awe mubashara katika Mtandao wa Kijamii wa Instagram. Tofauti na alivyozoeleka kuwa ni mtu wa ‘viwanja’, siku hizi Mai haonekani tena akijichanganya kama zamani na badala yake amkuwa mtulivu nyumbani. “Ni kweli, nina ujauzito na unanisumbua sana ndiyo maana sionekani siku hizi, siwezi kusema una umri gani ila ninapenda kujifi cha hivi hadi nitakapojifungua na ninapenda siku hiyo nikiwa ninajifungua, niwe live kwenye Instagram,” alisema Mai ambaye mtangazaji wa AzamTV
Acha kabisa,ila huu ni ujinga sijui upumbavu hata sielewikweli KE mna kazi
Ohooooo!!!Mwambie akumbuke kunyoa vuzi pia.
kwa kweli inasikitishaAcha kabisa,ila huu ni ujinga sijui upumbavu hata sielewi
Mungu atuhurumie
Sawa bibieHat
Hatutaki sasa
MTANGAZAJI maarufu wa televisheni Bongo, Maimartha Jesse ‘Mai’ ambaye hivi sasa ni mjamzito, amesema atapenda siku yake ya kujifungua ikifi ka, awe mubashara katika Mtandao wa Kijamii wa Instagram. Tofauti na alivyozoeleka kuwa ni mtu wa ‘viwanja’, siku hizi Mai haonekani tena akijichanganya kama zamani na badala yake amkuwa mtulivu nyumbani. “Ni kweli, nina ujauzito na unanisumbua sana ndiyo maana sionekani siku hizi, siwezi kusema una umri gani ila ninapenda kujifi cha hivi hadi nitakapojifungua na ninapenda siku hiyo nikiwa ninajifungua, niwe live kwenye Instagram,” alisema Mai ambaye mtangazaji wa AzamTV
Hahahahahaha! Nimekupenda bureMwambie akumbuke kunyoa vuzi pia.
Hatimaye anataka kuzaa sasa! Amuombe sana Mungu ajifungue salama halafu mtoto awe kamiiMTANGAZAJI maarufu wa televisheni Bongo, Maimartha Jesse ‘Mai’ ambaye hivi sasa ni mjamzito, amesema atapenda siku yake ya kujifungua ikifi ka, awe mubashara katika Mtandao wa Kijamii wa Instagram. Tofauti na alivyozoeleka kuwa ni mtu wa ‘viwanja’, siku hizi Mai haonekani tena akijichanganya kama zamani na badala yake amkuwa mtulivu nyumbani. “Ni kweli, nina ujauzito na unanisumbua sana ndiyo maana sionekani siku hizi, siwezi kusema una umri gani ila ninapenda kujifi cha hivi hadi nitakapojifungua na ninapenda siku hiyo nikiwa ninajifungua, niwe live kwenye Instagram,” alisema Mai ambaye mtangazaji wa AzamTV