Maimartha asema atarusha instalive siku ya kujifungua

Hat
Wanawake wengine acheni ulimbukeni wa teknolojia..mabalaa mengine mnajitakiaga wenyewe, hata kama tupo kidijitali, maadili yazingatiwe

Mnajidhalilisha wenyewe kisa tu ufahari na kutaka sifa zisizo na maana
Hatutaki sasa
 
MTANGAZAJI maarufu wa televisheni Bongo, Maimartha Jesse ‘Mai’ ambaye hivi sasa ni mjamzito, amesema atapenda siku yake ya kujifungua ikifi ka, awe mubashara katika Mtandao wa Kijamii wa Instagram. Tofauti na alivyozoeleka kuwa ni mtu wa ‘viwanja’, siku hizi Mai haonekani tena akijichanganya kama zamani na badala yake amkuwa mtulivu nyumbani. “Ni kweli, nina ujauzito na unanisumbua sana ndiyo maana sionekani siku hizi, siwezi kusema una umri gani ila ninapenda kujifi cha hivi hadi nitakapojifungua na ninapenda siku hiyo nikiwa ninajifungua, niwe live kwenye Instagram,” alisema Mai ambaye mtangazaji wa AzamTV
Kwani siku kaolewa tena shost? Na huyo pdidy wake yupo wp?
 
Ukiona Jambazi Mkuu anaamua Kuokoka na kuwa mpinga Ujambazi wa aina yoyote ile basi ni jambo la kheri na la kumshukuru sana Mwenyezi Mungu wetu.
 
mbona wakati wa kufanya mambo mpaka akapata ujauzito hakuweka live tuone.....acheni ulimbukeni , fanyeni kazi.
 
MTANGAZAJI maarufu wa televisheni Bongo, Maimartha Jesse ‘Mai’ ambaye hivi sasa ni mjamzito, amesema atapenda siku yake ya kujifungua ikifi ka, awe mubashara katika Mtandao wa Kijamii wa Instagram. Tofauti na alivyozoeleka kuwa ni mtu wa ‘viwanja’, siku hizi Mai haonekani tena akijichanganya kama zamani na badala yake amkuwa mtulivu nyumbani. “Ni kweli, nina ujauzito na unanisumbua sana ndiyo maana sionekani siku hizi, siwezi kusema una umri gani ila ninapenda kujifi cha hivi hadi nitakapojifungua na ninapenda siku hiyo nikiwa ninajifungua, niwe live kwenye Instagram,” alisema Mai ambaye mtangazaji wa AzamTV
Hatimaye anataka kuzaa sasa! Amuombe sana Mungu ajifungue salama halafu mtoto awe kamii
 
Mtu mzima kisheti, Muhenga anayegoma kukubaliana na hali yake huu ulikuwa wakati wake wakulea wajukuu sio kuzaa yeye, atulie tu ashakuwa zilipendwa tena ya matonya.
 
Back
Top Bottom