Maimartha wa Jesse ameweka majibu yake ya UKIMWI hadharani

Hivi watu wote ambao ni maarufu Tanzania hii umri wao huwa hausongi mbele? Eti mtu mpaka magego kishang'oa bado miaka 29 tu??
Hovo sijaona vizuri au ni hii bangi niliyovuta inanipelekesha[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Pengine tumuulize kidoti maana nasikia ni mdogo kiumri kuliko hata mdogo wake.watadanganya umri sana lakini uzee uko palepale
Kudanganya kwamba una umri mdogo ni moja ya kielelezo kwamba umri wako halali na mambo uliyofanya hapa duniani haviendani.. Yaani haujafanya kitu!

Kwahiyo unataka kuonekana mdogo kuficha aibu!
 
Wala sio Bangi uko sawa tu
 
Halafu wanawake ndio wana haka kamchezo sana je unaweza kuwa na Majibu juu ya swala hili
Why women
Hawa sijui ni kwanini wanapenda sana udogo.. Ukimwambia umri wako yeye anapunguza miaka mitano katika umri wako..unakuwa ndio umri wake
 
Nilimuona huyu Bibi kwa Mara ya mwisho maeneo ya mabibo karibu na chuo cha NIT ( National Institute of Transport) akiwa kwenye gari ikifanya promo' ya kinywaji flani hiv,japo nilikuwa mdogo na nilikuwa nasoma STD VII,nilimshangaa kwa kuwa nilikuwa nikimuona kwenye TV,niligundua kuwa anamagego...,sasa nimehtim chuo kikuu na bado mwonekano wake ni uleule na miaka yake ni ileile
Hatar sana!
 
Mwaka 2012 Lulu alikuwa na miaka 18 {bado kulikuwa na utata wa umri wake} leo hii ni miaka mitano imepita ambapo Lulu kwahivi sasa anakadiriwa kufika miaka 23 sikatai. Sasa tulinganishe baadhi ya vitu baina ya Maimartha na Lulu;

1. Lulu anaonekana hata magego bado hajaota / Maimartha ameshang'oa

2. Sura ya Lulu bado ni ya mid 20s / Maimartha sura yake ni ya above 40
Ndio kweli Maimartha na Lulu wawe wamepishana miaka 5?[emoji15] [emoji15]

3. Sura ya Lulu inakaa poda / Ya Maimartha inalazimishwa tu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] Aisee

Yote kumi lakini tisa, kipindi niko shule namkumbuka Maimartha akiwa tayari anatangaza Eatv, ni miaka 12 tangu nimalize shule, leo hii mimi ni 30+ yeye bado yuko 29[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Itakuwa anahesabu kwa kutumia miaka ya Kabla Kristu (KK)[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Kuna watu miaka yao huwa haisogei kabisa yani, mpaka mwanangu atafikisha hiyo miaka wakati wao wakiwa hapo hapo!

Wanatumia njia gani kuupiga umri stop?
Wanatumia teknolojia ya juu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…