Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kudanganya kwamba una umri mdogo ni moja ya kielelezo kwamba umri wako halali na mambo uliyofanya hapa duniani haviendani.. Yaani haujafanya kitu!Pengine tumuulize kidoti maana nasikia ni mdogo kiumri kuliko hata mdogo wake.watadanganya umri sana lakini uzee uko palepale
Wala sio Bangi uko sawa tuHivo watu wote ambao ni maarufu Tanzania hii umri wao huwa hausongi mbele? Eti mtu mpaka magego kishang'oa bado miaka 29 tu??
Hovo sijaona vizuri au ni hii bangi niliyovuta inanipelekesha[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Kweli?[emoji15] [emoji15]Wala sio Bangi uko sawa tu
Watakuwa wanatumia system ya Sayari ya Jupita..Wanatumia njia gani kuupiga umri stop?
Kudanganya kwamba una umri mdogo ni moja ya kielelezo kwamba umri wako halali na mambo uliyofanya hapa duniani haviendani.. Yaani haujafanya kitu!
Kwahiyo unataka kuonekana mdogo kuficha aibu!
hahahaha ya kweli haya?29 my foot!
Yaan mi kipindi sijui hata nini maana ya Kwichi kwichi namuona na Kinyaiya EATv wanazingua na kikongo chao! Chaaa
Hawa sijui ni kwanini wanapenda sana udogo.. Ukimwambia umri wako yeye anapunguza miaka mitano katika umri wako..unakuwa ndio umri wakeHalafu wanawake ndio wana haka kamchezo sana je unaweza kuwa na Majibu juu ya swala hili
Why women
[emoji2] [emoji2]Kuna watu miaka yao huwa haisogei kabisa yani, mpaka mwanangu atafikisha hiyo miaka wakati wao wakiwa hapo hapo!
Wanatumia njia gani kuupiga umri stop?
Anatumia kalenda ya kabla Kristo[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwaka 2007 alikuwa kama leo. Sasa inamaana huyu sister umri wake hurudi nyuma???? Au akisema miaka yake harisi itakuwa shida???????....
We hukupata gari nyekundu na dola kwenye bahasha ya kaki?Liyumba si alipita, hamna negative wala nini. Anajifariji tu.
Wanatumia teknolojia ya juu sanaKuna watu miaka yao huwa haisogei kabisa yani, mpaka mwanangu atafikisha hiyo miaka wakati wao wakiwa hapo hapo!
Wanatumia njia gani kuupiga umri stop?