Maimartha wa Jesse ameweka majibu yake ya UKIMWI hadharani

Khaaa wema kashatimiza miaka 29[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa hyo wanalingana na huyu ajuza
 
Jamani, Mimi naona kama labda ni tarehe maana title uake hapo ni date of birth "29" ila mwezi na mwaka havijawekwa.

Najaribu kuwaza kwa sauti ila japo kama age yake kaandika kutaja kuwa ndiyo *29* mmmmmmmh basi anatimia style ya B.C, kuhesabu umri wake.


Lakini katika hali halisi huyo kuanzia mwaka 1995+ tayari aliisha anza utangazaji na kufunua zipu za wababu huku mitaani na hapo alikuwa kama 20+.

Umri wake halisi :-

Chukua 20+ ya wakati huo 1995+,
Kisha chukua 2017-1995 = 21.

Basi, at least yuko hapa 20 + 21 = 41 years old.

Umri wake wa sasa ni 41.

Akikataa vyeti vyake vipo hadi shule.

Japo umri wake siyo issue sana kuhusu, na umri wake halisi asilaumiwe maana hahitaji kwenda shule.

BTW, katika huu uzi nimejifunza kuwa , ukijitaja upande usio wako jamii itakuelekeza unako-stahili.
 
Hao wanaojiita mastaa wa kibongo wakiwatajia umri wao ongezeni hapo miaka 10 mtapata umri wao halali.
Wao hutumua kanuni ya minus 10 , sisi tutatumia plus 10
 
Hii ni dalili kuwa hayo majibu sio yake.
Ndio maana kaficha jina.
 
Eeeeh
Labda waliogopa matak bandia anayowasaidia kuyapata wangeambukizwa nae.
 
Walau hapo wengi tungekubaliana nae
 
Sasa kuweka ushahidi hapa inasaidia nini, kwani mahakamani hapa.

Hukunikutafuta kulazimisha watu kukuamini, kwani ukiwa nahuo ukimwi niajabu kiasigani mbaka unaangaika kuleta maushaidi humu, kama mtu hataki kukuamini hakuaminitu hata ufanyaje.
 
Ni wapi kasema au panapoonyesha ana miaka 29?

Mbona mi sijapaona...
 

Hahahaaa....hiyo 29 iko kwenye date of birth...ambayo ni tarehe ya kuzaliwa. Umri ni age. Sijaona age hapo.

Sasa hawa wanaosema kuwa hiyo 29 ndo umri wake ni hawajaelewa au?

Hahahaaa daaah kaazi kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…