fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,758
- 2,713
Hili suala la umri acha uhakiki upite tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ujinga tu kwani hajawaona watu wamekua hadi wanazeeka hata nyumba ya vyumba viwili hawajawahi kumilikiKudanganya kwamba una umri mdogo ni moja ya kielelezo kwamba umri wako halali na mambo uliyofanya hapa duniani haviendani.. Yaani haujafanya kitu!
Kwahiyo unataka kuonekana mdogo kuficha aibu!
True.
Ila huyo mwanamke ni mkubwa sana. Hawezi akapungua 40+ years old.
Japo, umri wake siyo issue maana haandikishwi shule.
Sio mkorogo tu hata zile za kuongeza chura uyo ndo official dealerHuyo ndio expert wa aina zote za mikorogo Tanzania.
Hadi leo wewe ushakuwa nguli wa kwichikwichi na utamu umeishiwa,, eti yeye bado 29.!!!Yaan mi kipindi sijui hata nini maana ya Kwichi kwichi
Ha ha haUtaibiwa wewe
Eti miaka 29?
Alianza kuhesabu miaka yake baada ya kumaliza form 4 ama?
Ndio hapo chacha shangaa na ww,eti wanalingana na WemaKhaaa wema kashatimiza miaka 29[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa hyo wanalingana na huyu ajuza
[emoji134] [emoji134] [emoji134] nshachoka mie na hawa wakujiita superstarNdo kwanza Giggy money ana 19 mkuu
Hahaha umenichekesha kwa kweli kiongoziKuna watu miaka yao huwa haisogei kabisa yani, mpaka mwanangu atafikisha hiyo miaka wakati wao wakiwa hapo hapo!
Wanatumia njia gani kuupiga umri stop?
Eti ameanza utangazaji akiwa na 12years,hatari sana...Lakini kama ndo wanajaza hizo huko kwenye vituo vya Afya kwenye date of birth wanaweka umri huyo dada umri wake ni mkubwa sana,
maana miaka ya 2000 nimeanza kumuona kwenye kipindi kimoja hivi EATV sikikumbuki kipindi kama sikosei mpaka sasa ni miaka 17 ina maana ameanza utangazaji akiwa na umri gan?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji115]Kuna watu miaka yao huwa haisogei kabisa yani, mpaka mwanangu atafikisha hiyo miaka wakati wao wakiwa hapo hapo!
Wanatumia njia gani kuupiga umri stop?
usichoke mkuu utashuhudia mengi [emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji134] [emoji134] [emoji134] nshachoka mie na hawa wakujiita superstar
Sent from my SM-G903F using JamiiForums mobile app
Wanawake ambao hawajaolewa ndo umri wao uwa unarudi nyuma kadri miaka inavoongezekausichoke mkuu utashuhudia mengi [emoji4] [emoji4] [emoji4]