Maimartha wa Jesse ameweka majibu yake ya UKIMWI hadharani

Maimartha wa Jesse ameweka majibu yake ya UKIMWI hadharani

Kudanganya kwamba una umri mdogo ni moja ya kielelezo kwamba umri wako halali na mambo uliyofanya hapa duniani haviendani.. Yaani haujafanya kitu!

Kwahiyo unataka kuonekana mdogo kuficha aibu!
Ni ujinga tu kwani hajawaona watu wamekua hadi wanazeeka hata nyumba ya vyumba viwili hawajawahi kumiliki
 
Mimi naamini doct alisikia vibaya umli wa mai huyu mdada mie niko shule yeye yupo kazini leo nimemzidi tena labda alisema 39 doc kakosea kuandika
 
True.

Ila huyo mwanamke ni mkubwa sana. Hawezi akapungua 40+ years old.

Japo, umri wake siyo issue maana haandikishwi shule.

Sawa.

Lakini sijaona popote pale alipodai umri wake ni miaka 29.

Nimeona 29 kwenye sehemu ya kuweka tarehe ya kuzaliwa.

Hilo la umri naona limeletwa na watu tu humu ama kwa kushindwa kuelewa au kwa sababu zingine.

Lakini sijaona yeye huyo dada akisema chochote kuhusu umri wake.
 
Lakini kama ndo wanajaza hizo huko kwenye vituo vya Afya kwenye date of birth wanaweka umri huyo dada umri wake ni mkubwa sana,

maana miaka ya 2000 nimeanza kumuona kwenye kipindi kimoja hivi EATV sikikumbuki kipindi kama sikosei mpaka sasa ni miaka 17 ina maana ameanza utangazaji akiwa na umri gan?
Eti ameanza utangazaji akiwa na 12years,hatari sana...

Sent from my SM-G903F using JamiiForums mobile app
 
Huyu dada hazeeki, iyo karatasi inachapwa kwenye computer na muhuri unachongwa pale mnara wa saa wapo wengi wanachonga kwa sh 4,500
 
Sawa kweli ' Dally Kimoko / UKIMWI ' hana ila mliye nae karibu hebu mshaurini basi apunguze sana kupenda mchezo wa ' Kuruka Ukuta / Kubinjuka / Kutaga Mayai ' Kibaiolojia. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Back
Top Bottom