Omary Ndama
JF-Expert Member
- Apr 16, 2017
- 3,367
- 4,067
Nguli kivipi mkuu tunafahamiana?Hadi leo wewe ushakuwa nguli wa kwichikwichi na utamu umeishiwa,, eti yeye bado 29.!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hujakosea mkuuWanawake ambao hawajaolewa ndo umri wao uwa unarudi nyuma kadri miaka inavoongezeka
Hapana witnessj. Nilifuatisha maneno yako tuuu. Samahani kama nimevuka mipaka ya uvumilivu wakoNguli kivipi mkuu tunafahamiana?
Wala mkuu...ni swali tuuHapana witnessj. Nilifuatisha maneno yako tuuu. Samahani kama nimevuka mipaka ya uvumilivu wako
Majibu ya Ukimwi yanaandikwa Reactive au Non Reactive au siyo Sky EclatKifupi alitaka kuwaonesha watu kuwa ana mimba ya zaidi ya miez miwili.
Majibu halisi ya kupima UKIMWI huwa anapewa mhusika binafsi kwa mdomo, hizo vitu vya kuandikwa ni rubbish tu. Chochote kinaweza kuandikwa lakini kisiwe halisi.
Yote tisa, yule ni bibi, tena Kikongwe kusema ana miaka 29 ni kujaribu tu kucheza na Akili za watu.
Yote tisa, kumi ni kutafuta Kick tu.
Yupo 40+Hayo majibu watu wanaweza wakatengeneza pia, atutolee usanii...Miaka 29 nakataa pia...yupo kwenye 30+
Heee kumbe analingana na kasejaKuna watu miaka yao huwa haisogei kabisa yani, mpaka mwanangu atafikisha hiyo miaka wakati wao wakiwa hapo hapo!
Wanatumia njia gani kuupiga umri stop?
[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mwaka 2012 Lulu alikuwa na miaka 18 {bado kulikuwa na utata wa umri wake} leo hii ni miaka mitano imepita ambapo Lulu kwahivi sasa anakadiriwa kufika miaka 23 sikatai. Sasa tulinganishe baadhi ya vitu baina ya Maimartha na Lulu;
1. Lulu anaonekana hata magego bado hajaota / Maimartha ameshang'oa
2. Sura ya Lulu bado ni ya mid 20s / Maimartha sura yake ni ya above 40
Ndio kweli Maimartha na Lulu wawe wamepishana miaka 5?[emoji15] [emoji15]
3. Sura ya Lulu inakaa poda / Ya Maimartha inalazimishwa tu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] Aisee
Yote kumi lakini tisa, kipindi niko shule namkumbuka Maimartha akiwa tayari anatangaza Eatv, ni miaka 12 tangu nimalize shule, leo hii mimi ni 30+ yeye bado yuko 29[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Itakuwa anahesabu kwa kutumia miaka ya Kabla Kristu (KK)[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Tobaa[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Atuwekee na VIPIMO VYA MARINDA....kama yamebaki japo 2 tu
wee wema ana zaidi ya salasini halafu umri wa hospitali magumashii mi naandikaga uongo kila leoView attachment 613870
Mtangazaji mahiri Maimartha ameamua kuweka majibu yake ya kipimo cha Ukimwi hadharani kutokana na watu kumsema Sana yeye ni muathirika
View attachment 613873
Baada ya kuweka majibu hadharan ndipo watu walipobaini umri wake kumbe ana miaka 29 amemzidi Wema Sepetu miaka 2.
Sawa.
Lakini sijaona popote pale alipodai umri wake ni miaka 29.
Nimeona 29 kwenye sehemu ya kuweka tarehe ya kuzaliwa.
Hilo la umri naona limeletwa na watu tu humu ama kwa kushindwa kuelewa au kwa sababu zingine.
Lakini sijaona yeye huyo dada akisema chochote kuhusu umri wake.