Maimartha wa Jesse ameweka majibu yake ya UKIMWI hadharani

Maimartha wa Jesse ameweka majibu yake ya UKIMWI hadharani

Kifupi alitaka kuwaonesha watu kuwa ana mimba ya zaidi ya miez miwili.
Majibu halisi ya kupima UKIMWI huwa anapewa mhusika binafsi kwa mdomo, hizo vitu vya kuandikwa ni rubbish tu. Chochote kinaweza kuandikwa lakini kisiwe halisi.

Yote tisa, yule ni bibi, tena Kikongwe kusema ana miaka 29 ni kujaribu tu kucheza na Akili za watu.

Yote tisa, kumi ni kutafuta Kick tu.
Majibu ya Ukimwi yanaandikwa Reactive au Non Reactive au siyo Sky Eclat
 
Kuna watu miaka yao huwa haisogei kabisa yani, mpaka mwanangu atafikisha hiyo miaka wakati wao wakiwa hapo hapo!

Wanatumia njia gani kuupiga umri stop?
Heee kumbe analingana na kaseja
Manake kaseja wakiitwa under 20 atajitokeza mika yake haiongezekagiiiiiii
 
CIMG1970 (800x600).jpg


Binti wa miaka 29.
 
Mwaka 2012 Lulu alikuwa na miaka 18 {bado kulikuwa na utata wa umri wake} leo hii ni miaka mitano imepita ambapo Lulu kwahivi sasa anakadiriwa kufika miaka 23 sikatai. Sasa tulinganishe baadhi ya vitu baina ya Maimartha na Lulu;

1. Lulu anaonekana hata magego bado hajaota / Maimartha ameshang'oa

2. Sura ya Lulu bado ni ya mid 20s / Maimartha sura yake ni ya above 40
Ndio kweli Maimartha na Lulu wawe wamepishana miaka 5?[emoji15] [emoji15]

3. Sura ya Lulu inakaa poda / Ya Maimartha inalazimishwa tu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] Aisee

Yote kumi lakini tisa, kipindi niko shule namkumbuka Maimartha akiwa tayari anatangaza Eatv, ni miaka 12 tangu nimalize shule, leo hii mimi ni 30+ yeye bado yuko 29[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Itakuwa anahesabu kwa kutumia miaka ya Kabla Kristu (KK)[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
View attachment 613870

Mtangazaji mahiri Maimartha ameamua kuweka majibu yake ya kipimo cha Ukimwi hadharani kutokana na watu kumsema Sana yeye ni muathirika

View attachment 613873

Baada ya kuweka majibu hadharan ndipo watu walipobaini umri wake kumbe ana miaka 29 amemzidi Wema Sepetu miaka 2.
wee wema ana zaidi ya salasini halafu umri wa hospitali magumashii mi naandikaga uongo kila leo
 
Biashara imekaza inabidi ubunifu kidogo ili tuwaaminishe wateja kuwa ni og.
 
Sawa.

Lakini sijaona popote pale alipodai umri wake ni miaka 29.

Nimeona 29 kwenye sehemu ya kuweka tarehe ya kuzaliwa.

Hilo la umri naona limeletwa na watu tu humu ama kwa kushindwa kuelewa au kwa sababu zingine.

Lakini sijaona yeye huyo dada akisema chochote kuhusu umri wake.


Nyani Ngabu,

Ni Kweli hata comment yangu ya kwanza niliweka wazi kabisa kuwa Labda hiyo 29 ni tarehe ambayo haikuwekewa mwezi na mwaka wa kuzaliwa.

Tena, subheading inaonesha "date of birth" ambayo ni controversial clause of words.


Ila huyo Dada hata kama hajaweka umri wake hapo kwenye hiyo doc ya hospital lakini tunamfahamu 40+ years old.
 
Back
Top Bottom