Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nyani Ngabu,
Ni Kweli hata comment yangu ya kwanza niliweka wazi kabisa kuwa Labda hiyo 29 ni tarehe ambayo haikuwekewa mwezi na mwaka wa kuzaliwa.
Tena, subheading inaonesha "date of birth" ambayo ni controversial clause of words.
Ila huyo Dada hata kama hajaweka umri wake hapo kwenye hiyo doc ya hospital lakini tunamfahamu 40+ years old.
Huwezi kusema mnafahamu kuwa ana miaka 40 na kitu halafu msiseme kwa umahsusi ana miaka mingapi.
Hapo hakuna mnachokifahamu. Kuna mnachokisadiki tu.
Mngekuwa mnafahamu basi mngesema kwa umahsusi kuwa ana miaka 41, 43, 45, 46, na kadhalika.
Unajua kazaliwa mwaka gani? Unajua ana umri gani?
Na unajua maana ya kujua au hujui?