Maimartha wa Jesse ameweka majibu yake ya UKIMWI hadharani

Maimartha wa Jesse ameweka majibu yake ya UKIMWI hadharani

Nyani Ngabu,

Ni Kweli hata comment yangu ya kwanza niliweka wazi kabisa kuwa Labda hiyo 29 ni tarehe ambayo haikuwekewa mwezi na mwaka wa kuzaliwa.

Tena, subheading inaonesha "date of birth" ambayo ni controversial clause of words.

Ila huyo Dada hata kama hajaweka umri wake hapo kwenye hiyo doc ya hospital lakini tunamfahamu 40+ years old.

Huwezi kusema mnafahamu kuwa ana miaka 40 na kitu halafu msiseme kwa umahsusi ana miaka mingapi.

Hapo hakuna mnachokifahamu. Kuna mnachokisadiki tu.

Mngekuwa mnafahamu basi mngesema kwa umahsusi kuwa ana miaka 41, 43, 45, 46, na kadhalika.

Unajua kazaliwa mwaka gani? Unajua ana umri gani?

Na unajua maana ya kujua au hujui?
 
Mmmmmmmmmmh,

OK.
 
Kwani hayo majibu yana Muhuri wa Moto? Ukiweka weka majibu yako hivyo kuna kitu si cha kawaida.
 
29 my foot!

Yaan mi kipindi sijui hata nini maana ya Kwichi kwichi namuona na Kinyaiya EATv wanazingua na kikongo chao! Chaaa

hahahaha hadi saaa hizi umekua nguli,jabali bado ye ana miaka 29 tu!??
 
hapo mbona pameandikwa date of birth may be ni 29. Jan ................... hawzi kuwa na miaka 29 huyu ni ajuza na yule anayembemenda Daimond
 
watu wa kubet wanasema mai na wema umri wao ni option ya 28+ tena ya ligi ya brazil serie b.
 
Alianza kutangaza niko la nne mpaka leo ndo yuko na miaka 29 kweli wanawake wanahesabiwa umri wa taratibu kama hatua za kinyonga,kwahyo akifa watasema amekufa akiwa bado mdogo sanaaaeeeehhh
 
View attachment 613870

Mtangazaji mahiri Maimartha ameamua kuweka majibu yake ya kipimo cha Ukimwi hadharani kutokana na watu kumsema Sana yeye ni muathirika

View attachment 613873

Baada ya kuweka majibu hadharan ndipo watu walipobaini umri wake kumbe ana miaka 29 amemzidi Wema Sepetu miaka 2.
umesoma wap???

huoni hapo kama wameandika date of birth ndo 29 au hujaelewa maana yake??
 
Back
Top Bottom