Maimartha wa Jesse ameweka majibu yake ya UKIMWI hadharani

Maimartha wa Jesse ameweka majibu yake ya UKIMWI hadharani

Daaaah maimartha nilianza kumsikiliza enzi zile channel 5 akiwa na beni kinyaiya mi bado nilikuwa sekondari hahah eti Leo tuna umri unaokaribiana hahahahahah daaah

Mastaaa bhana
Hatar Sana
 
Umri wa mwanamke uanza kugoma kwenda mbele pale anapofikisha Umri wa miaka 23...
 
Na pale alikuwa Kwenye 24 au 25

Wanashindwa kuelewa kuwa utadanganya umri,,,lakini sura yako huwa ni mara chache kudanganya umri wako,,,,,,Yule kwajinsi anavyoonekana na tangu me binafsi nianze kumfahamu,,,,,
bilashaka umri wake ni 36.....na kuendelea
 
Daa hawa wadada nimeanza kuwasikia kitambo wana Bahati miaka yao inaongezeka taratibu sana sijui wanafanyaje!
 
Mnataka kusema yule Maimasa wa Sta tv ni mdogo kwangu wakati mimi nilikuwa nasoma shule ya msingi yeye akiwa mtangazaji miaka ya 2000! Halafu niliwahi kuanza shule
 
Mnataka kusema yule Maimasa wa Sta tv ni mdogo kwangu wakati mimi nilikuwa nasoma shule ya msingi yeye akiwa mtangazaji miaka ya 2000! Halafu niliwahi kuanza shule
😀😱
 
Na nchi yetu inavyonuka rushwa unaweza kabisa kununua majibu ya kuonyesha ni -VE.

Kifupi alitaka kuwaonesha watu kuwa ana mimba ya zaidi ya miez miwili.
Majibu halisi ya kupima UKIMWI huwa anapewa mhusika binafsi kwa mdomo, hizo vitu vya kuandikwa ni rubbish tu. Chochote kinaweza kuandikwa lakini kisiwe halisi.

Yote tisa, yule ni bibi, tena Kikongwe kusema ana miaka 29 ni kujaribu tu kucheza na Akili za watu.

Yote tisa, kumi ni kutafuta Kick tu.
 
Wahi Mkuu ukatengeneze Cheti cha kuzaliwa kipya cha kuonyesha ulizaliwa 1997.

Mnataka kusema yule Maimasa wa Sta tv ni mdogo kwangu wakati mimi nilikuwa nasoma shule ya msingi yeye akiwa mtangazaji miaka ya 2000! Halafu niliwahi kuanza shule
 
Jamani toka na msikia mai mpaka leo ana29 kweli umli ulifika sehemu ukastop maana nimezoom mala 10 niyalidhishe macho
 
hapa ndipo nnaposhangaa hawa wasanii wanatumia zile calendar za B.C (kabla ya kristo) zilikuwa zinarudi nyum
 
Huyu Dada tangia 2003 anatangaza Channel 5 ,ni zaidi ya miaka 14 tangia nimjue anatangaza ina maana kipindi kile alikuwa ana miaka 15? Huyu hamna hamna 39.
 
Back
Top Bottom