Jerlamarel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 843
- 2,525
"Can You Still Trust Anybody to be Good After Everything You've Been Through?"
Binafsi siwezi, kwa umri niliofikia na kutembelea sehemu na maofisi mbalimbali, nikijumlisha na life la mtaani kwangu na kibaruani kwangu jinsi watu wanavyoishi hakika sina imani na mtu yeyoteee.
Rafu aliyochezewa huyu mwamba mpaka ilibidi acheke tuu, na ndio rafu ambazo tunachezeana sana maishani, hiyo yote ni kwa sababu ya kuamini sana watu akidhani watu wote ni wema kama yeye.