Hakumkubali jamaa bure. Kama unakumbuka wakati wanaambiwa kuhusu game inayofuata wachaguane wawili wawili, mzee alitengwa kwa sababu alikua anaonekana dhaifu sana. Out of all members ni mshikaji pekee ndio aliamua kumchagua. Kwaiyo mzee alimlipa fadhila, si unajua tena "If you choose me now, I will choose you later". Na inavyoonekana kwenye ile movie, game ya Marbles (gololi) ndio ilikua game ya pekee ambayo ni rahisi ku fake kifo kwa sababu ilikua kwenye vyumba vyumba so ni rahisi mtu kutoonekana akifa. Zingine zote zilikua open space. Na mzee inaonekana alipanga kuishia pale (kwa sababu alikua ndio mastermind) na aliweka mtego kuwa atakae mchagua ndio atakae mzawadia opportunity ya next round.
Anyway, nilichokiona kwenye whole series ni kwamba in this life, the kind hearted people ndio wanao win big in the end. Hawa wazee wa survival for the fittest, me first, I don't care for anyone, na blah blah zingine kibao za kuwasaliti na kuwashinda wengine, huwa wana fika mbali lakini hawawi na mwisho mzuri.
So Be Kind : )
All Love.