Main theme ya "Squid Game" ni "Can You Still Trust Anybody to be Good After Everything You've Been Through?"

Main theme ya "Squid Game" ni "Can You Still Trust Anybody to be Good After Everything You've Been Through?"

Hapana hawakukujua kama mshindi ni mmoja
Walijua,walikuwa wanajua kabisa hasa baada ya kurudi mara ya pili kwa hiari yao.

Kumbuka sheria mojawapo ilikuwa inasema kama majority watavote ku-end the game basi game itaisha kweli lakini hawatapata chochote, so wakavote na game ikaisha.

Walivyorudi mtaani life likaendelea kuwa tight ndipo wakaamua kurudi wenyewe voluntarily.

MV5BNjcxNjY1MGEtMDA2Yi00MmM5LThjZTQtZTYzMjJkNjNhOGE5XkEyXkFqcGdeQXVyMzQwMDU3NDA%40._V1_.jpg
 
Walijua,walikuwa wanajua kabisa hasa baada ya kurudi mara ya pili kwa hiari yao.

Kumbuka sheria mojawapo ilikuwa inasema kama majority watavote ku-end the game basi game itaisha kweli lakini hawatapata chochote, so wakavote na game ikaisha.

Walivyorudi mtaani life likaendelea kuwa tight ndipo wakaamua kurudi wenyewe voluntarily.

View attachment 1984627
Ila mle ndani demokrasia ilitamaraki.. nilicheka sana pale kwenye voting, kuna mama aliangalia zile hela akasema hapana nabaki [emoji1][emoji1]
 
Kumbe kila mmoja alikuwa anaamini atakuwa yeye.. sikukua hilo
 
tusubiri season two. hivi waliokuwa wakifanya biashara haramu ya viungo ni wakina nani???

pia hivi yule askari jasiri alikufa ule muda alivyo pigwa risasi baharini????

front man
Hii series ina gaps ambazo zinaifanya ipate nafasi ya season 2.

Ngoja tusubiri.
 
tusubiri season two. hivi waliokuwa wakifanya biashara haramu ya viungo ni wakina nani???

pia hivi yule askari jasiri alikufa ule muda alivyo pigwa risasi baharini????

front man
Nadhani itakua ni wale wale wafanyakazi mle ndani..hasa wale "wakubwa" ambao walikua wanajua njia za siri za ile ngome!
 
Ila mle ndani demokrasia ilitamaraki.. nilicheka sana pale kwenye voting, kuna mama aliangalia zile hela akasema hapana nabaki [emoji1][emoji1]
Maza alikuwa anajua kabisa mtaani hawezi chomoka hivyo bora afe hapo akipambana[emoji23]
 
Hapa nilipo nipo na majonzi sana.
Rafiki yangu wa ukweli last week end alilewa sana!
Akaenda klab akiwa na washkaj wengine wakalewa wakiwa na madem...

Wakati akitoka klab akagongana na gari ingine.sababu ni mapombe akaona ni msala akaondoka kuwahi nyumbani.

Asubuhi yake jpili ananipigia sim kwamba amegonga gari ya mke wake.
Anaomba iwe jua au mvua niseme kwamba nilikuwa nae wakati wa tukio na tulikuwa sehemu tumepaki tukagongwa.

Mi nikaona huu ni UKEI nikamtumia mesej mke wake kwamba jamaa amegongwa hakuwa na mimi..

Alikuwa na madem wengine na wasela wengine kwahiyo mi sikuwepo siku hiyo nilikuwa nimelala zangu...

Jamaa akanipia simu analia mbaya kabisa...
I trusted u my friend but u become a fvckin dick...
Au unataka unilie mke wangu kwann umemwambia na kuharibu wakti nilishampanga akaelewa ikaisha!!

Huku nafsi inaniuma nikamjibu GO FVCK URSELF MAZACHODRI
Umeteleza baharia, ulifaa umzibie mshkaji wako.
 
Afu sang woo kwenye hio scenes ailshafahamu mchezo unaokwenda kutokea ,kama unakumbuka alimuuliza yule dada kama ameona chochote wakati alivyoenda chooni kuchungulia ,akamjibu ameona wanayeyusha sukari....wakati wanaangalia maumbo akukmbuka mchezo unavyo chezwa lkn hakumwambia mshikaji wake hata baada ya kuulizwa umegundua chochote akimjibu hapana
Kwenye hicho kipengele kuna funzo hapo.
Jamaa alikuwa na roho mbaya
 
kitu nilichogundua hata wale askari ni mateka[emoji23][emoji23]

sijui dingi aliwafanyaje!!!
 
Matukio mengi ktk hii movie yanamaana Sana ktk maisha halisi na namna watu wengine wenye kuona mbali wanavyo tengeneza fedha kupitia maskini.. Ni muhimu kuangalia system za maisha yetu it kutumbukia kwenye mitego ya watu wakubwa wenye fedha zao kisa driving forces tulizonazo but nyengine ni natural driving forces Kama jamaa aliechukua mtonyo aliachwa na mwanamke kisa hana fedha hivyo mtoto wake alilelewa na baba wa kambo!,hii ilimuuma sana jamaa pia mama yake alikuwa anaumwa na nimzee jamaa nae hakuwa na mishe ya kuingiza fedha na anamadeni lukuki mpk anapewa visago..[emoji28]

Kwa mazingira haya lazima mtu wakufanye mbuzi wa sadaka.
Ile part ya jamaa alivyo rudi akkuta mama yake ka dedi uliniumiza Sana.

Ila aliniboa kudusa zile pesa, nilitamani niingie mle nimlambe makofi
 
Back
Top Bottom